Upole!!

Mimi nilikuwa mkali kweli. Ilikuwa kila my nanilii wangu akikosea ninaye. Siku moja akaamua kunitolea uvivu, nikapata kipondo cha nguvu; kwa hiyo nikaamua kuwa mpole. Sasa sijui mimi utaniweka kwenye kundi gani?
hhahhah....pole ehhhh!
 
EMT asante sana kwa maneno mazito....nimejifunza jambo natamani siku ifike nilifanyie kazi!
 
Napenda mchangamfu. Asiwe mpole sana ila ajue kuendana na mazingira.
 
mpole anaekubali kila kitu ni mjinga! kwa sababu binadamu mwenye akili hawezi kuwa hivyo labda kama ni mzembe sana wa kufikiria.........
kama mwanamke lazma uwe unajiamni na grest thinker kwa faida ya familia na kama utakua great thinker hutoweza kukubali kila kitu maana lazma kuna mengine ambayo unaweza kuyachallenge kwa manufaa ya wawili na familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…