Upole!!

mimi mpaka vibao nachapwa na demu sipendi kumuudhi hata kama sina kosa

Khaaaaa!!
Na mwenyewe umeridhika tu???Man up bwana!!!

Nilipoona tu your statement nikajua tuko mtaa mmoja, na kua huta regret mipango ile ninayomilizia.... Mwanumwe mpole, mpole mpaka majirani wanaanza kua na wasi wasi kua labda wewe ndo ulimlazimisha kukaa nae... Ya nini ???

Sindo hapo sasa...kila mtu anaanza kusema mara sijui umemkalia kichwani sijui mambo gani gani!!!
Ehhh embu fanya haraka huo mpango mpendwa.....baridi inazidi kuongezeka!!Lolzzzz
 
Imenibidi kucheka lol!!!!
 
Mkuu hata barua kabla ya kumfikia mhusika huwa zinapita Posta kwanza hebu follow procedures basi kwanza lol

Komredi vaaga miwani ya giza sometimes bana . . . .
 
Khaaaaa!!
Na mwenyewe umeridhika tu???Man up bwana!!!
Sindo hapo sasa...kila mtu anaanza kusema mara sijui umemkalia kichwani sijui mambo gani gani!!!
Ehhh embu fanya haraka huo mpango mpendwa.....baridi inazidi kuongezeka!!Lolzzzz


Usijali, sitaki nifanye haraka... si unajua agenda yetu ya gentle push wafikiri wao ndo walianza... nipo very slow but very sure.... Hio baridi jikaze kidogo....
 
halaf kuna mod anakupigia misele nini? unajua kila nikiquote post yako basi network connectiona inapotea ghafla katika mazingira ya kutatanisha. Nitaanzishia sredi hili suala, Kama mod ni domo zito sio atumie power yake kukata mawasiliano yetu. message sent! (nikipigwa ban naomba unianzishie sredi), kuhusu kutokuonekana , niko bize nahamasisha watu kumtambua Mungu. Alleluyah!

Bek to ze topik: ignore description ya Lizzy, huyo anaemuongelea lizzy nazani atakuwa bwabwa, wewe chukua hilo neno "mpole" kwa unavyolielewa tu, Lizzy ana F square ya kiswahili tumchukulieni tu wajameni.
 


Akishakwenda kuliwazwa anarudi wapi??? Hayo ya muda tu unaliwazwa ukirudi ngoma iko pale pale
 
Hubby . . .
Hivi umenisamehe mara ngapi leo??

Hata sikumbuki....ila misamaha leo imeisha!!
Natumaini kwa Asha utapata nafasi ya kuweka vibegi vyako!!:A S cry:!😛hone:
 
Kamanda hivi haujafanikiwa kumkomboa Hashycool tu
 
Mkuu hata barua kabla ya kumfikia mhusika huwa zinapita Posta kwanza hebu follow procedures basi kwanza lol


TF unachanganya ya kufuata procedures si ni ile nyingine ??? Sidhani kama CPU means that...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…