Upole!!


Anapenda miksa kama CPU
 
Basi ulikosea kuandika uliposema HUWEZI KUWA MPOLE coz ukisema hivi maana yake ni kitu cha kuamua, wakati ukweli ni kwamba HUNA UPOLE

Hubby naomba uqoute hiyo kitu maana sio maneno yangu kabisa!!!
Siwezi kua na mpole maybe ila hata hiyo sijasema!
 

Hahahaah...si umeona?... umetokea tu na kucheka nimecheka...sijui unaendaga wapi jamani???!!! usiwe unapotea hivyo bana...!
Nafikiri leo siku inaisha vizuri kabisa, baada ya kumwona Mr. Kloro...

Back to the topic: Mimi napenda mpole, ila sio kama anayefanana na descrption ya Lizzy ya upole, ni kama zezeta hivi...mhhh hapana bana!
 
Ningekuwa bado ningemtafuta mpole lakini ningemuonea ile mbaya maana kwa ukorofi nilionao hatungewezana tunawezana na mkorofi mwenzangu.

Ila dah!!! Nashukuru kwa yuziful thread

unajua ngoja niwambie nyinyi wadada,
we ukiona mwanaume mpole usijidanganye kuwa umepata sana,
sometimes hawa wapole wana namna yao ya kujiliwaza,
wewe unamsema sema home, unamnyayapaa na maneno yako yasokuwa na adabu,
Anakuenjoy tu, taratibu anaenda kuliwazwa na wale wanaojua kuwa mume hakaripiwi!!!!!!!!
 
khaaaa! kweli wewe kibaka mzoefu! ulitokaje tokaje lile swagga la juzi baada ya kudakwa unaondoka na kiloba cha korosho?

bek to ze topik: refer to my two yuziful last posts

Kwenye kiroba niliweka majani ya migomba kwa ajili ya kulia makande
Topik
Hapa JF umewahi kukutana na mrembo mpole?? Hata kwa maandishi tu . . .
 

mimi mpaka vibao nachapwa na demu sipendi kumuudhi hata kama sina kosa
 

Nilipoona tu your statement nikajua tuko mtaa mmoja, na kua huta regret mipango ile ninayomilizia.... Mwanumwe mpole, mpole mpaka majirani wanaanza kua na wasi wasi kua labda wewe ndo ulimlazimisha kukaa nae... Ya nini ???
 
mwanaume mpole sana anatakiwa awe na mwanamke mpole pia maana ikiwa tofauti watu wataona siku zote anaonewa na ananyamaza sio kwamba hataki kukujibisha au hajui umekosea, yeye anaona taabu tu kujibizana anaona bora akae kimya ila watu wa aina hii akiibuka siku moja! utakimbia nyumba
 
Wakati naanza kazi Serikalini kwa mshahara wa 102,568/= kwa mwezi

Hiyo hela mama mbona ni nyingi mno????
Dola ilikuwa inabadilishwa kwa less than Tshs 120
 
Duh Bacha naona umeamua kutufungua macho sio tunamfurahia Mr Yes kumbe katengeneza mizinga yake mahali .


 
Hubby naomba uqoute hiyo kitu maana sio maneno yangu kabisa!!!
Siwezi kua na mpole maybe ila hata hiyo sijasema!

Pengine nimegeuza maneno
Umesema NAOGOPA KUWA MPOLE
Mi naona huogopi ila huwezi hata kuwa hivyo
 

Ndio maana tumeanzisha chama cha kututetea, vipigo kutoka kwa mabaunsa vimezidi. Ila mtu wa dizaini uliyosema siyo mpole ila ni broken heart na hajiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…