Mambo ya kupigana hamna bwana....namaanisha ambae ataweza kusimamia kitu nielewe hata kama nilikua najaribu kua mbishi!!Sio ambae nikimwambie leo silali nyumbani anakubali tu kirahisi kwasababu hataki kunikasirisha!!!Unapenda wakali lizzy, tena wa kukupigapiga kwa marungu hata kwa vijikosa vidogo jamani? Au nimekosea bibie?
Binafsi mi naogopa kua na mtu wa aina hii kwenye mahusiano kwasababu najijua ni mkorofi kidogo kwahiyo naona kama ntamuonea sana.Iwe kwa makusudi au la najua mwisho wa siku ntaishia kujisikia vibaya na ntakua nimeshamuonea tayari!!Napenda mtu ambae nikikosea atanipa live na sio kwakunibembeleza maana wakati mwingine mtu akikwambia kitu kwa utaratibu ni rahisi kupotezea ila ukiona kakasirika kweli usikilizaji na uelewaji unaongezeka!!
Michango tafadhali......
afazali leo umetuongelea wanaume wapole, yaani tunanyanyaswa kweli aisee.
Upole asilia hauji kwa kuamua kichwani bali anakuwa nao mtu tangu anakua.
Wewe hata sasa huwezi tena kuwa mpole.
Binafsi sijazoea kufokea mtu, kumkasirikia mtu au kumpiga, especially kama nimfanyie haya mke (nikija kuoa). Why???
Nilivyokuwa nakua (nilivyokuwa primary school 1987 - 1993) nimepitia yote hayo.
So najua uchungu wake na jinsi mtu unavyokosa amani.
Najiuliza siku zote, hivi hakuna njia nyingine ya kumfundisha mtu na kumuelimisha kwamba hiki na kile hakitakiwi zaidi ya kumkaripia, kumpiga, kumfokea n.k???

Hahhahah....Kloro ngoja nikutafutie kabinti kapole muendane!!!
Sitaki kusikia unanyanyasika!!!
Nimeona hapo tu kwingine sijaona wala kusoma kabisa
dah! yaani hili bahati la leo kuliko kushinda lotto, hapa shwari tu Mrembo wangu, nimepoteza kilo kadhaa kwa kukumiss mawazoni mwangu, hope uko sawa na unanimiss pia, ukisema hukunimiss nagoma kukoga siku tatu mfululizo, pliz say u missed me.Mimi naomba tu nikusalimua dawa ya Malaria.....habari yako mkuu?
UNAJUA NYIE MABINTI MNA MAtatizo sana, mwanamke ukimpenda kupita kiasi na ukiwa mpole sana kwake anakuita *****,zobalangu n.k.na anaweza kukuletea bwana mwingine hivihiviiiiiiiii. ukiwa mkali kila cku unampa kichapo anapokosea,mnasema mnanyanyaswa, ukiwa haueleweki wakati mwingine unakuwa mkali sana wakati mwingine mpole, utasikia oooh, hili bwana langu hata silielewi, sijui lLINANIPENDA KWELI? WALA HALIELEWEKI, MIM "I PREFER TO BE UNPREDICTABLE"
Huo wa asilia ndo nnaouongelea!!
Kua tofauti na hivyo haina maana uwe unakaripia karipia tu watu ovyo na kufoka bila breki.....
Pole kwa kuonewa primary!!!
Upole asilia hauji kwa kuamua kichwani bali anakuwa nao mtu tangu anakua.
Wewe hata sasa huwezi tena kuwa mpole.
Binafsi sijazoea kufokea mtu, kumkasirikia mtu au kumpiga, especially kama nimfanyie haya mke (nikija kuoa). Why???
Nilivyokuwa nakua (nilivyokuwa primary school 1987 - 1993) nimepitia yote hayo.
So najua uchungu wake na jinsi mtu unavyokosa amani.
Najiuliza siku zote, hivi hakuna njia nyingine ya kumfundisha mtu na kumuelimisha kwamba hiki na kile hakitakiwi zaidi ya kumkaripia, kumpiga, kumfokea n.k???
Kwa ukorofi nilionao napenda nikutane na mtu kama mimi siyo mpole yani kila kitu anakubali maana inaboa. Haiwezekani kitu sijakosea nikawa mdogo au mpole. Nikikosea naomba msamaha na yeye akikosea aombe msamaha. Nukta
Ningekuwa bado ningemtafuta mpole lakini ningemuonea ile mbaya maana kwa ukorofi nilionao hatungewezana tunawezana na mkorofi mwenzangu.
Ila dah!!! Nashukuru kwa yuziful thread
Blaki Womani,
Nimeongeza size ya fonts kwenye post yako niweze kukusoma vizuri!
Nakukumbusha wapi??
Hi Lizzy.... I believe uko poa...Nice thread.
Nakubaliana nawe moja kwa moja na hio paragraph yako ya purple hapo juu. Among the qualities ninayopenda mwenza wangu awe nazo ni mtu anayejujua/jitambua na kujiamini (not over confident).... Because hivyo vitu vinacheza nafasi kubwa kwa a guy kuwa mpole au mkali. A guy ambae anajitambua na kujiamini yuko huru kufanya lolote juu yako cha haki maadamu tu awe atakupenda kwa dhati, na ninaposema lolote nina maana pale unapostahili kupongezwa wewe kama mwanamke wake atakupongeza (sio sifa za kijinga kila saa ooh lips zako sexy, mara miguu yako sijui imekaeje-ndio inaweza ikawa kweli but isiwe issue...). Na pale ambapo umekosea anakubadilikia kwa level tofauti tokana na ukubwa wa kosa ulofanya....
Nimesema hivyo sababu kama katika mahusiano the guy ndo ana an upper hand (sio ya kukubuhu) and he takes care of you kwa his level best kama anakupenda ni lazma a react kutokana na kitu ulichofanya, hivyo kuku treat kama partner wake.... Akiwa mpole kwa kila kitu ina maana kakuchulia kama mtoto akili yako na pia hakuna tension hata kidogo .... Lizzy personaly naweza boreka....
khaaaa! kweli wewe kibaka mzoefu! ulitokaje tokaje lile swagga la juzi baada ya kudakwa unaondoka na kiloba cha korosho?Wewe si juzi tulienda kwa kalumanzila akupe dawa ya kukupunguzia ukali kwa mkeo???
Umejipaka ule unga wa mihogo leo mchana??? Maana msahaulifu kweli wewe