Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,652
Hivi kwa unavyofikiri hakuna kabila lenye washamba? Na ushamba unaoongelea hapa ni upi? Kila kabila lina washamba. Na kila kabila linakujitofautisha na makabila mengine. Iwe mchaga, iwe, Mnyakyusa, Mhaya na hata mndengereko, hawa wote ukiwa unaishi maeneo yao wana hali ya kutenga kutokana na uasili. Uwezi kwenda kwa makabila haya na mengineyo wakakubali upate ubunge au udiwani katika maeneo yao.Magufuli hakuwa kiongozi wa wasukuma pia usiwakumbushe machungu na maumivu waliyoyapata Wasukuma kutokana na utawala wa magu, kuanzia bariadi, Itilima, Kisesa, Meatu, Maswa ngo'mbe za wasukuma zilitaifishwa bila huruma kwa kuwa zimekula malisho ya pori la akiba la Maswa ( Maswa Game Reserve),
Ukienda huko ziwa Victoria kuanzia mialo iliyopo huko mkoani Geita mfano NKOME jimbo la geita vijijini kwa ndugu Musukuma, Sengerema kwa ndugu Tabasamu, pamoja na maeneo mengine ya mwaloni wasukuma waliuawa, kuchomewa nyavu/makokoro, kutaifishwa kwa boti zao etc, hivyo unapotaka kujipendekeza kwa utawala wa mwenda zake uyapime maandishi yako in relation to matendo na uhalisia wa utawala wa awamu ya tano.
Hata hivyo waasukuma wana ukabila sana hasa huko NTUZU kwa joka la makengeza hawapendi kuona mgeni anapata nafasi eg madiwani wa kanda hii hawawapendi watumishi wasio na asili ya usukumani, hawapendi kuona mgeni anafanikiwa ktk eneo lao, utapigwa figisu za kila aina usifanikiwe ikiwemo ndumba, kuibiwa, dhulma, ujambazi etc. Ole wako ukumbane na mnyantuzu mwenye hela au msomi mwenye vyeo vyake wanadharau siyo ya dunia hii eg Joka la makengeza limeibeba hii trait 100%.
Usidanganye watu humu kuhusu wasukuma nimefanya kazi kuanzia Geita, Mwanza, Shinyanga kwa zaidi ya miaka 20 nawafahamu vizuri na pia kwa taarifa yako kwa picha aliyoionesha anko magu hakuna msukuma atakamata nafasi kubwa hasa urais ktk nchi hii kwani wasukuma mmefeli sana kwanza character ya ushamba ambayo mnayo kiasili imekuwa ndo sifa kuu ya uongozi wa magu hebu tazama vituko vya makonda enzi zake.
Mwisho naona unajaribu kuwashawishi wasukuma wasiikubali CDM unajidanganya bure na aliyekutuma mwambie kachelewa kuanzia shinyanga mjini, Simiyu, Mwanza hadi Geita wanaikubali sana CDM pia Wasukuma siyo wajinga kama unavyowaza kama ambavyo ccm inategemea watu mbumbumbu mambo yamebadilika hivyo ccm itaendelea kujipachika polisi, tiss, mahakamani lakini ikisema ijitokeze usano mwa watz bila hizo nyenzo itapata kipigo cha mbwa koko.
Mwendazake alichochea ukabila Tanzania.Huu ndio ukweli.Pale ulipoandika " WASUKUMA WAMETOKA KUMZIKA KIONGOZI WAO MKUU" panafikirisha sana!..
Wewe mwenyewe ni munufuaika ussiye kuwa na shukurani. Jitafakari sana.Acha uongo we Sukuma gang. Mmeumia nyinyi mliyokuwa mnafaidika na utawala wa kikatili wa Magufuli. Watanzania wanafuraha.
Hii nchi inapoelekea ni kubaya sana tutakuwa na vita vya kikabila kama kule Rwanda. Hizi chokochoko za kikabila naziona sana dhidi ya wasukuma.Hakuna asiye jua kwamba wasukuma Ndio wengi hapa nchini. Na kwa Hari ilivyo unaweza sema wako kila kona ya nchi.
Wasukuma hawajawahi kubishana mambo ya ukabila hadharani wao ni nduhu tabu (yaani hakuna shida).
Hizi ***** ***** zidi yao ipo siku zitaamsha hisia za ndani na wataanza kushirikiana Vizuri na huo Ndio utakuwa mwanzo wa ukabila hapa nchini. Na haitatokea Rais kutoka Kabila jingine.
Baada ya kifo Cha Magufuli wasukuma wamebagazwa Sana kwenye mitandao lakini bado wanaendelea na kuchapa Kazi na hawana shida na hayo.
Siasa zinazoendelea ndani ya Chadema hazina afya hasa ukizingatia wasukuma wametoka kumzika kiongozi wao mkuu. Wanahitaji faraja na sio kutukanishwa. Nami niseme..yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
Acha unafiki dhidi ya wasukuma maku wewe, unajifanya unafanana na panya buku ambaye anauma na kupuliza. Mara wasukuma washamba mara oh wabinafsi mara wanadharau hapo hapo unasema wasukuma hawapo hivyo sijui wanajielewa mara wasukuma wapo chadema mother fuc##Magufuli hakuwa kiongozi wa wasukuma pia usiwakumbushe machungu na maumivu waliyoyapata Wasukuma kutokana na utawala wa magu, kuanzia bariadi, Itilima, Kisesa, Meatu, Maswa ngo'mbe za wasukuma zilitaifishwa bila huruma kwa kuwa zimekula malisho ya pori la akiba la Maswa ( Maswa Game Reserve),
Ukienda huko ziwa Victoria kuanzia mialo iliyopo huko mkoani Geita mfano NKOME jimbo la geita vijijini kwa ndugu Musukuma, Sengerema kwa ndugu Tabasamu, pamoja na maeneo mengine ya mwaloni wasukuma waliuawa, kuchomewa nyavu/makokoro, kutaifishwa kwa boti zao etc, hivyo unapotaka kujipendekeza kwa utawala wa mwenda zake uyapime maandishi yako in relation to matendo na uhalisia wa utawala wa awamu ya tano.
Hata hivyo waasukuma wana ukabila sana hasa huko NTUZU kwa joka la makengeza hawapendi kuona mgeni anapata nafasi eg madiwani wa kanda hii hawawapendi watumishi wasio na asili ya usukumani, hawapendi kuona mgeni anafanikiwa ktk eneo lao, utapigwa figisu za kila aina usifanikiwe ikiwemo ndumba, kuibiwa, dhulma, ujambazi etc. Ole wako ukumbane na mnyantuzu mwenye hela au msomi mwenye vyeo vyake wanadharau siyo ya dunia hii eg Joka la makengeza limeibeba hii trait 100%.
Usidanganye watu humu kuhusu wasukuma nimefanya kazi kuanzia Geita, Mwanza, Shinyanga kwa zaidi ya miaka 20 nawafahamu vizuri na pia kwa taarifa yako kwa picha aliyoionesha anko magu hakuna msukuma atakamata nafasi kubwa hasa urais ktk nchi hii kwani wasukuma mmefeli sana kwanza character ya ushamba ambayo mnayo kiasili imekuwa ndo sifa kuu ya uongozi wa magu hebu tazama vituko vya makonda enzi zake.
Mwisho naona unajaribu kuwashawishi wasukuma wasiikubali CDM unajidanganya bure na aliyekutuma mwambie kachelewa kuanzia shinyanga mjini, Simiyu, Mwanza hadi Geita wanaikubali sana CDM pia Wasukuma siyo wajinga kama unavyowaza kama ambavyo ccm inategemea watu mbumbumbu mambo yamebadilika hivyo ccm itaendelea kujipachika polisi, tiss, mahakamani lakini ikisema ijitokeze usano mwa watz bila hizo nyenzo itapata kipigo cha mbwa koko.
Aliyekufa ni kiongozi wa nchi siyo kiongozi mkuu wa wasukuma.Hakuna asiye jua kwamba wasukuma Ndio wengi hapa nchini. Na kwa Hari ilivyo unaweza sema wako kila kona ya nchi.
Wasukuma hawajawahi kubishana mambo ya ukabila hadharani wao ni nduhu tabu (yaani hakuna shida).
Hizi ***** ***** zidi yao ipo siku zitaamsha hisia za ndani na wataanza kushirikiana Vizuri na huo Ndio utakuwa mwanzo wa ukabila hapa nchini. Na haitatokea Rais kutoka Kabila jingine.
Baada ya kifo Cha Magufuli wasukuma wamebagazwa Sana kwenye mitandao lakini bado wanaendelea na kuchapa Kazi na hawana shida na hayo.
Siasa zinazoendelea ndani ya Chadema hazina afya hasa ukizingatia wasukuma wametoka kumzika kiongozi wao mkuu. Wanahitaji faraja na sio kutukanishwa. Nami niseme..yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
AlishatanguliaTanzani hatujawai kuwa na tatizo au mjadala wa makabila, ila ndani ya miaka 5 iliyopita naona hii minong'ono inaibuka.
Nina imani kuwa aliyeanzisha ukabila atatangulia na kuiacha Tanzania ikiwa moja.
Watanzania tuzipuuze hizi chuki zinazopandikizwa kwetu
POSHO ZA WIZARA YA FEDHA MWEZI MARCH,APRIL NA MEI.Tuwe makini na hizi chanjo za Corona, Mbowe anatupa mashaka. Za kuambiwa changanya na zako.
Umepotosha kuhusu ukabila mkuu ingekuwa hivyo hakuna mtu wa kabila jingine angefanikiwa huko kwa wasukuma maana ni wengi na wana umoja.Magufuli hakuwa kiongozi wa wasukuma pia usiwakumbushe machungu na maumivu waliyoyapata Wasukuma kutokana na utawala wa magu, kuanzia bariadi, Itilima, Kisesa, Meatu, Maswa ngo'mbe za wasukuma zilitaifishwa bila huruma kwa kuwa zimekula malisho ya pori la akiba la Maswa ( Maswa Game Reserve),
Ukienda huko ziwa Victoria kuanzia mialo iliyopo huko mkoani Geita mfano NKOME jimbo la geita vijijini kwa ndugu Musukuma, Sengerema kwa ndugu Tabasamu, pamoja na maeneo mengine ya mwaloni wasukuma waliuawa, kuchomewa nyavu/makokoro, kutaifishwa kwa boti zao etc, hivyo unapotaka kujipendekeza kwa utawala wa mwenda zake uyapime maandishi yako in relation to matendo na uhalisia wa utawala wa awamu ya tano.
Hata hivyo waasukuma wana ukabila sana hasa huko NTUZU kwa joka la makengeza hawapendi kuona mgeni anapata nafasi eg madiwani wa kanda hii hawawapendi watumishi wasio na asili ya usukumani, hawapendi kuona mgeni anafanikiwa ktk eneo lao, utapigwa figisu za kila aina usifanikiwe ikiwemo ndumba, kuibiwa, dhulma, ujambazi etc. Ole wako ukumbane na mnyantuzu mwenye hela au msomi mwenye vyeo vyake wanadharau siyo ya dunia hii eg Joka la makengeza limeibeba hii trait 100%.
Usidanganye watu humu kuhusu wasukuma nimefanya kazi kuanzia Geita, Mwanza, Shinyanga kwa zaidi ya miaka 20 nawafahamu vizuri na pia kwa taarifa yako kwa picha aliyoionesha anko magu hakuna msukuma atakamata nafasi kubwa hasa urais ktk nchi hii kwani wasukuma mmefeli sana kwanza character ya ushamba ambayo mnayo kiasili imekuwa ndo sifa kuu ya uongozi wa magu hebu tazama vituko vya makonda enzi zake.
Mwisho naona unajaribu kuwashawishi wasukuma wasiikubali CDM unajidanganya bure na aliyekutuma mwambie kachelewa kuanzia shinyanga mjini, Simiyu, Mwanza hadi Geita wanaikubali sana CDM pia Wasukuma siyo wajinga kama unavyowaza kama ambavyo ccm inategemea watu mbumbumbu mambo yamebadilika hivyo ccm itaendelea kujipachika polisi, tiss, mahakamani lakini ikisema ijitokeze usano mwa watz bila hizo nyenzo itapata kipigo cha mbwa koko.
Warundi waliojificha kwenye Usukuma.. SUKUMA GANG wakianza fyokofyoko tunarudisha wote kwao Burundi.
Hivi utengano , chuki na visasi alivyotufanyia Mwendawazimu na wa WAHUTU Wenzake mnaojiita wasukuma , tunaanzaje kusahau na kukaa kimya. Never...!
Hakuna kabila hata 1 Tanzania ambalo pekee yake lina uwezo wa kuamua nani awe Rais. Wasukuma ni less than 10% ya population ya Tanzania. Sioni ni kwa namna gani, wakiungana, pekee yao waamue nani awe Rais.Hakuna asiye jua kwamba wasukuma Ndio wengi hapa nchini. Na kwa Hari ilivyo unaweza sema wako kila kona ya nchi.
Wasukuma hawajawahi kubishana mambo ya ukabila hadharani wao ni nduhu tabu (yaani hakuna shida).
Hizi ***** ***** zidi yao ipo siku zitaamsha hisia za ndani na wataanza kushirikiana Vizuri na huo Ndio utakuwa mwanzo wa ukabila hapa nchini. Na haitatokea Rais kutoka Kabila jingine.
Baada ya kifo Cha Magufuli wasukuma wamebagazwa Sana kwenye mitandao lakini bado wanaendelea na kuchapa Kazi na hawana shida na hayo.
Siasa zinazoendelea ndani ya Chadema hazina afya hasa ukizingatia wasukuma wametoka kumzika kiongozi wao mkuu. Wanahitaji faraja na sio kutukanishwa. Nami niseme..yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
Nini? Pole sana. Unadhani sisi ni kama wachagga ? Uwe na adabu kwa wakubwa zakoWasukuma ni kabila au mjumuiko wa makabila?
Wasukuma wako zaidi ya 30% sema hawajawahi kujitapa tu.Hakuna kabila hata 1 Tanzania ambalo pekee yake lina uwezo wa kuamua nani awe Rais. Wasukuma ni less than 10% ya population ya Tanzania. Sioni ni kwa namna gani, wakiungana, pekee yao waamue nani awe Rais.
Marehemu, kwa kipimo chochote cha uongozi, alikuwa kiongozi mbaya. Lakini hiyo haimaanishi kuwa wasukuma ni vuongozi wabaya (kwanza yunajua kuwa marehemu hakina msukuma kiasili).
kabisa wasukuma hawana sofa, kinehe bhabha olyaga mapalage?Kalale wewe. Mara washamba Mara wajanja. Hizo sofa zote za wasukuma?
Mwambie Mbowe anaharibu usitawi wa nchi na Chama chake.
Nyerere aliona mbali sana hakutaka rais atoke makabila makubwa.na ndiyo upuuzi Kama wako huu unatokea kuwaza ukabila.Pumbavu kabisaKalale wewe. Mara washamba Mara wajanja. Hizo sofa zote za wasukuma?
Mwambie Mbowe anaharibu usitawi wa nchi na Chama chake.
Wazazi wote wawili walikuwa watusi wa Burundi. Yeye alizaliwa Sengerema, tarafa ya Bugando. Baba yake alikuwa katili sana, wenyeji ambao ni wasukuma, walimwita Magufooli kwa sanabu alipenda sana kesi zilipelekea baadhi ya wenyeji kufungwa. Baba yake alipofariki, wenyeji walifurahia sana. Babu yake, pamoja na wanawe wawili waliamua kuhama na kuelekea Biharamuko, kwa sababu walichukiwa na wwnyeji.Kwani mwendazake alikuwa msukuma? Hakuna msukuma mwenye roho ya ukatili aina ile.
Kwa taarifa yako alikuwa mhutu wa kuzaliwa rejea posts za mangekimambi).