beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 524
Haaaaa we kila siku salamu!! kama huna cha kuandika piga kimya ......unajaza seva.
Kwan tatizo lako ni nin kila siku unaonaga ninachopost we vipi kwan lazima ujibu humu kaa pemben vilevile server server kuwa wewe basi kaona mi nafaid.we mwenyewe huna jipya hapo unakazi ya kuvizia vya watuili utoe yaliyo moyon. Siku njema bwana wewe nani tena aaah maproso salamu zao
Siku njema bwana wewe nani tena aaah maproso salamu zao
Hahahahahaaaaaaaa :help:Basi basi beibe nasty ukisema maneno yote yataisha bhaana halafu kesho utakosa maneno!! .......usiku mwema nani vile?
habari za nyinyi humu ndani vipi wazima wote? Mi leo nipo so weak and mpaka sasa nimelose apetite im praying irudi haraka nikale jamani. Nimewakumbuka tuu na kama kawaida ya bebe kutoa salamu si tatizo kwangu.hope upo okey
Khaa! Kumbe huwa unakuwa mbogo namna hii beibe? Mngekuwa face to face maprosoo angeshaa leo!Kwan tatizo lako ni nin kila siku unaonaga ninachopost we vipi kwan lazima ujibu humu kaa pemben vilevile server server kuwa wewe basi kaona mi nafaid.we mwenyewe huna jipya hapo unakazi ya kuvizia vya watuili utoe yaliyo moyon. Siku njema bwana wewe nani tena aaah maproso salamu zao
Khaa! Kumbe huwa unakuwa mbogo namna hii beibe? Mngekuwa face to face maprosoo angeshaa leo!
Wala mpenzi mi sipendi mtu atafute umaarufu wakifamba bt ndo mana nikampa linlomfaa yeye bt me nipo peace tuu.endelea kuomba utafanikiwa, ila t umemshushua utam utafkir ulimweka kporo
Ya chakula dear oneApetaiti ya nini.
Hahahahahaaaaaaaa :help: