Upo wapii???

Upo wapii???

Miwivu tu inakusumbua.......katafute wa kwako

Wee shukuru huyo Kongosho wako bado mawani ya mbao imemng'ang'ania! Subiri itokee imemdondoka , akamaizi mtu aliyekua akimmwagia misifa ni mlaji mzuri wa Kuku, Mayai na Vifaranga pia unapitanavyo!
Atakuabisha kukuanzia Thrade!
Your hours are numbered !
 
Last edited by a moderator:
Nimpendeacho Bishanga nakijua mwenyewe

Wee shukuru huyo Kongosho wako bado mawani ya mbao imemng'ang'ania! Subiri itokee imemdondoka , akamaizi mtu aliyekua akimmwagia misifa ni mlaji mzuri wa Kuku, Mayai na Vifaranga pia unapitanavyo!
Atakuabisha kukuanzia Thrade!
Your hours are numbered !
 
Last edited by a moderator:
Unanitengenezea mazingira ya
kianastazia eti eeh?

Shida una watch afu hubweki !
Unategemea nini! Ukija anza bweko, banga linaungua! Afu unajifanya hujui Mamndenyi alishanishawishi nimnunulie kiwanja , na nikakinunua! Wkt na mzigo sijapeleka pwani!
Mchaga mwizi huyu sipati picha!
 
Nakuja kukupa kazi ya kufanya afu utalala tena sana...
aione chama..
Baba V
Acha kuuchimba angalia sana umri umekupita vidonge vya blue vina madhara; chunga sana usilazimishe watu kulala matanga; kimwana hawezi kulala amezoe kuwa ubavuni kwangu nipo safari kikazi hamu zote za Mamndenyi zitakwisha jumamosi; nakushangaa sana mtu umezoea kula mizoga ya uwanja wa fisi eti leo unajinadi unataka kula vitu vyenye viwango Baba V umekutwa na masahibu gani?? unatamani kula nyama wakati kibogoyo ulipokuwa na meno ulikuwa wapi?? lahaulla!!!
 
Last edited by a moderator:
Shida una watch afu hubweki !
Unategemea nini! Ukija anza bweko, banga linaungua! Afu unajifanya hujui Mamndenyi alishanishawishi nimnunulie kiwanja , na nikakinunua! Wkt na mzigo sijapeleka pwani!
Mchaga mwizi huyu sipati picha!

Kiwanja unalia namna hii ingekuwa nyumba si ungajiua kabisa!
 
Baba V
Acha kuuchimba angalia sana umri umekupita vidonge vya blue vina madhara; chunga sana usilazimishe watu kulala matanga; kimwana hawezi kulala amezoe kuwa ubavuni kwangu nipo safari kikazi hamu zote za Mamndenyi zitakwisha jumamosi; nakushangaa sana mtu umezoea kula mizoga ya uwanja wa fisi eti leo unajinadi unataka kula vitu vyenye viwango Baba V umekutwa na masahibu gani?? unatamani kula nyama wakati kibogoyo ulipokuwa na meno ulikuwa wapi?? lahaulla!!!

We ongea sana weee...! siku akizaa katoto kakamanda kanatoka kametanguliza vidole viwili ndo utajua kuwa ng'ombe hazeeki maini. We lalalala tukufanyie kazi.
c.c Mamndenyi.
 
c.c Mamndenyi ..
 
Last edited by a moderator:
chama mapenzi yako kwangu ni daraja la kwanza
yaani ni super super super hadi raha,
mwaaaaaaaaa!.

Baba V
Acha kuuchimba angalia sana umri umekupita vidonge vya blue vina madhara; chunga sana usilazimishe watu kulala matanga; kimwana hawezi kulala amezoe kuwa ubavuni kwangu nipo safari kikazi hamu zote za Mamndenyi zitakwisha jumamosi; nakushangaa sana mtu umezoea kula mizoga ya uwanja wa fisi eti leo unajinadi unataka kula vitu vyenye viwango Baba V umekutwa na masahibu gani?? unatamani kula nyama wakati kibogoyo ulipokuwa na meno ulikuwa wapi?? lahaulla!!!
 
Last edited by a moderator:
We ongea sana weee...! siku akizaa katoto kakamanda kanatoka kametanguliza vidole viwili ndo utajua kuwa ng'ombe hazeeki maini. We lalalala tukufanyie kazi.
c.c Mamndenyi ..

Baba V mbona nakusamamba sana sikupati !
Nway hebu niondolee shangazo , ule uzi wako wa jana kuhusu kumpachika somebody mimba ulitowekaje ghafla cc pasipo any details ?
 
Aaaah bwana we acha tu.. Nimeamua kukaa kimya si unajua tena utu uzima dawa, ingekuwa enzi zangu zile pangechimbika...... watu wanavutia ngozi kwao ...
 
We ongea sana weee...! siku akizaa katoto kakamanda kanatoka kametanguliza vidole viwili ndo utajua kuwa ng'ombe hazeeki maini. We lalalala tukufanyie kazi.
c.c Mamndenyi ..
Baba V
Najua umejifunza kutoka kwa master kuingilia na kuvuruga nyumba za watu lakini hapa kwangu huwezi Mamndenyi utaishia kumsikia ; Baba V tangu lini povu la omo likatia mimba?? usijitie hamnazo kwa kufurahisha walimwengu kama kwa macho vyalika vile!!
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi yake kwako na sio mapenzi yako kwake....... kaliwa mtu.. chagga noma.
Baba V
una wasiwasi sana wa maisha Mamndenyi hawezi kuyamaliza maji ziwa Victoria hapa amefika; basi kwasababu master wako katiwa changa la macho unafikiri kila mtu yupo kwenye michezo ya kuigiza kama mama naninoo??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom