Upo wapii???

Upo wapii???

Juhudi zangu za kuitafuta ile siredi imegonga mwamba kumbe ili disiapia ee
Baba V mbona nakusamamba sana sikupati !
Nway hebu niondolee shangazo , ule uzi wako wa jana kuhusu kumpachika somebody mimba ulitowekaje ghafla cc pasipo any details ?
 
Last edited by a moderator:
Za jamvin. Na masiku tele...nataka jua we saivi upo wapi n wafanyaje au wafanyajwe...mi nasty nipo kitandan melala...
Btw i av missed every one in here...ila nasubiria mualiko atakae wahi naenda kula nae Eid Alhaji hehehe Bishanga...Shem ErickB52. .ArushaOne...shost Charming Lady.. My dada Madame B...Mamndenyi...Mr....my Ex Judgement na mkewe Ynnah...lol na wengine mpo wapiiii mewamiss... 🙂

wish i was by ur side.....
 
Back
Top Bottom