Nagalala hapa bed hakuna hata ucngizi.
Nikupe msaada?
Unataka majibu ya methali ?
Unataka msaada?
Ntamminyaje?...mambo mke mwenza
Nshajua tayari njoo umung'unye ubuyu
My former wife! Mambo?
Mi nikidhani ulishajifuta Jeiefu! Nway chagua upendo nikununulie onbehalf of this holiday.
asante kwa ukarimu wako beibe nasty
Huyo Bishanga hata mkewe The secretary anamtafuta hajui aliko. wanasema alivamia jabali la mapenzi Kongosho kashindwa kujikwamua.
Huna lolote nakutolea njino na hadi ulim hufanyi lolote Nyoka la kibisaa
jaribu uone.....
Hahahahahaa
Hihiiiiiii jg me nataka naniliuuu......
Hujui kama ulinipendea akili zangu?