Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Weeewe pilau heheee sa leo mbona ntakuwa kama fisi hehehe
hahahaaa.... Ndio uje hivyo nitakuachia bucha lol!
Weeewe pilau heheee sa leo mbona ntakuwa kama fisi hehehe
aisee ...
Amka uje tuanze eid mapemaa
hata uso hamjanawa, yaone!
Hahaaa uchelew kuniuliza umevaaaje ...
Hihihiiiii
Suala ni raha kunawa hata kesho sio shida Lady doctor
Hatuna matongotongo bana Lady doctor
hahahaaa...... Mtapata kipindupindu nyie hayeni tu
Tena kweli kidogo nisahau...haya malizia kutoa majibu kabisa. Ukimuona mtu amevaa t shirt na pens ndio mm huyo.
hahahaaa...... Mtapata kipindupindu nyie hayeni tu
Tehe tehe..reply yako ni 33min ago, wakt yangu 32min ago. Huoni mm ndio nimewahi!!?
Heheee kweli ur a doctor hihiii kipindupindu owiiiii ngoja nnawe
Hahaaaa mi ukimuona mwenye nicabu ndo mie
Heheee sa ni bora tuoge kabisa mana ntakua na vifurushiii