Leomimi JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 2,547 Reaction score 878 Jun 2, 2014 #1 Kitambo sasa sijamuona Excel upo wapi eti au wameshakupiga ma ban
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Jun 2, 2014 #2 Anakuja alikuwa hanimuni na miss neddy Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,841 Jun 2, 2014 #3 Munkari said: Anakuja alikuwa hanimuni na miss neddy Click to expand... hanisan hiyo itakuwa maana miss neddy alikuwa mtaani leo mchana...labda kama kamfungia jamaa af yeye anachanja mbuga za jf.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Munkari said: Anakuja alikuwa hanimuni na miss neddy Click to expand... hanisan hiyo itakuwa maana miss neddy alikuwa mtaani leo mchana...labda kama kamfungia jamaa af yeye anachanja mbuga za jf..
kuchangumu JF-Expert Member Joined Apr 2, 2014 Posts 724 Reaction score 290 Jun 2, 2014 #4 Kaonekana leo kwenye uzi wangu huu https://www.jamiiforums.com/mahusia...emu-wa-itv-full-body-nimegairi-kumtafuta.html Anaishi kimachale sana nadhani anatafutwa huyu sio bure tena atakuwa anadaiwa.
Kaonekana leo kwenye uzi wangu huu https://www.jamiiforums.com/mahusia...emu-wa-itv-full-body-nimegairi-kumtafuta.html Anaishi kimachale sana nadhani anatafutwa huyu sio bure tena atakuwa anadaiwa.
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,392 Jun 2, 2014 #5 kuchangumu said: Kaonekana leo kwenye uzi wangu huu https://www.jamiiforums.com/mahusia...emu-wa-itv-full-body-nimegairi-kumtafuta.html Anaishi kimachale sana nadhani anatafutwa huyu sio bure tena atakuwa anadaiwa. Click to expand... Hahahahah anaishi kama banyamulenge
kuchangumu said: Kaonekana leo kwenye uzi wangu huu https://www.jamiiforums.com/mahusia...emu-wa-itv-full-body-nimegairi-kumtafuta.html Anaishi kimachale sana nadhani anatafutwa huyu sio bure tena atakuwa anadaiwa. Click to expand... Hahahahah anaishi kama banyamulenge