hivi aliyemuoa akipita anajisikiaje
Kumkumbuka ex haijawahi toka na ninaona ni uzwazwa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kama ulichoandika hapa kina ukweli na siyo changamsha genge basi haya ni matumizi mabaya ya mitandao.Hi!
2014 ulinipenda pasipo chochote, sikuwa na kitu lakini hukujali, ulinipenda na umasikini wangu, licha ya kuwa ulikuwa mrembo Sana,
Nimekumbuka sauti yako nyororo na macho yaliyolegea.
Ulinichagua katika ya wanaume wengi walionizidi sifa za kihadhi, kifedha na hata kielimu.
Popote Ulipo Anastazia Benedicta jua Michael bado anakupenda,
Ulikuwa unaishi Kwa Aunt yako pale Kwenye Kota za mapolisi Moshi mjini, Nyumba yenu ilikuwa mkabala na uwanja wa mashujaa wa pale Moshi mjini.
Nimekumbuka mara ya mwisho tulivyokutana mida ya saa mbili chini ya lile sanamu la mwanajeshi pale uwanja wa mashujaa. Mpaka leo nakumbuka Marashi yako mpaka hivi leo.
Ile zawadi uliyonipa nimeitunza mpaka Leo Kama ukumbusho.
Anneth popote Ulipo nakuomba ujitokeze. Kama kuna mtu humu anamjua Aneth aliyekuwa anaishi na Aunt yake pale Kota za polisi uwanja wa mashujaa naomba amtaarifu Mick ninamtafuta Sana.
Aneth nakupenda Sana. Hata kama umeolewa, sitajali, ninachotaka nikuone roho yangu ipumzike jamani
Wao wanataka pesa tuKwnn hatuoni post za wanawake wakisaka wapenzi wao wa zamani
Kwamba wao hawana kumbukumbu zozote kuhusu mahusiano yao ya zamani
Wewe ulipomtosa ulifikiri hatapata wakufanana nae! Sasa unamwanika hapa ili uvunje ndoa yake? Manake kwa aunt yake unapajua uungwana nenda kaanzie hapo usiwe kivurugeAnaitwa Anastasia Benidicta Ila alikuwa anapenda nimuite Aneth, Nimemkumbuka Sana Mpenzi wangu.
Popote Ulipo Aneth, nakuomba ujitokeze, najua umeolewa lakini nataka nikuone tuu roho yangu itulie
Nasisitiza huu ni upumbavu wa hali ya juu na wanaouendekeza ni vilaza ndio maana hata kuandika hawajui. Mademu zao waliowapenda wakiwa sijui chekechea uko wanataka kujikuta leo hii wamedata. How comes mtu walipendana sana na hajui namna ya kumpata katika ulimwengu wa sasa.Kama ulichoandika hapa kina ukweli na siyo changamsha genge basi haya ni matumizi mabaya ya mitandao.
Ulimwengu huu zipo njia nyingi sana ya kumsearch mtu kimyakimya kuliko njia hii unayotumia.
Wewe utajisikia vipi siku haha JF atokee njemba na uzi wake wa kumsaka mpenzi wake wa zamani ambaye ndio mke wake.
Punguzeni upumbavu.
Huyu ni mchawi wala hana mapenzi hapa. Kwa akili hizi huyo Aneth hampatiWewe ulipomtosa ulifikiri hatapata wakufanana nae! Sasa unamwanika hapa ili uvunje ndoa yake? Manake kwa aunt yake unapajua uungwana nenda kaanzie hapo usiwe kivuruge
Kuna watu ni wachawi kamili wamekosa vitendea kazi tu.Huyu ni mchawi wala hana mapenzi hapa. Kwa akili hizi huyo Aneth hampati
Wenyewe wanajiita kamati ya roho mbaya, hapo wenyewe wanaita kukusagia kunguni.Mada za kuleteana mikosi hizi, ukiachwa achika ya Nini kumbebelea mtu anaeendelea vyema na maisha yake!
Basi Kama hitaji lao ni pesa tuuWao wanataka pesa tu