upo tayari????

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
525
jaman leo beibe natoa ofa ya kuchat na wana jf kuanzia sa tano coz kesho ni holiday so atakae kuwa tayari na kama umekubaliana na hili nijibu sasahivi n kwa wale wa mwanza akina charming gals na wengne mtu akinifurahsha kesho nakutana nae so guys power to u
 
kesho ntakuwepo taifive hotel kama vp tukutane.
 
Mweeee!mie ntakuwepo ado ado maana ndoa nayo tamu na hii hali ya hewa ntakua naibuka nyakati za hafu taimu!
 

kwa udhamini wa voda! dah ksho naamka mchana. nafidia ucngz wa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…