Upite utaratibu Ukimkuta sio bikra usimtolee mahari

Upite utaratibu Ukimkuta sio bikra usimtolee mahari

Ndio mkuu nakubaliana na wewe, ila inatakiwa kuwe na utaratibu pia nini kifanyike kwa anayemtoa mtoto wa mtu bikra na hana malengo ya kumuoa
 
Huo ndio utaratibu kwa legends wote kwasasa,usije kuuziwa Ng'ombe asietoa maziwa.
Raia wanateseka sana mahospitalini.

Ndoa mnafunga kuubwa, then maisha yenu yanakuwa ni kukesha hospitali kutafuta watoto.
 
Hata kama siyo bikra mathalani umemfata mimi lazima nije nichukue changu tena usiombe kuoa usukumani tukija kuchukua mahari kama huna pesa huwa tunafungasha hadi TV
 
Usiwqdanganye huyo unayesema siyo bikra alijizaa? Acheni utapeli ndo maana unakuta umeishi na binti wa watu miaka 15 hampigi hatua kumbe hamjapata baraka pande zote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom