Upishi na utembezaji bidhaa

Upishi na utembezaji bidhaa

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,341
Reaction score
1,499
Habari!
Natafuta wahudumu wa kupika chakula wawili (2) na wakutembeza bidhaa (2).
Posho ni Tsh. 3,000 kwa kutwa. Kikubwa uwe na ujuzi tu wa kazi husika.
Mwenye uhitaji njoo inbox.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh elfu 3 ukitoa nauli, vocha na mengineyo si unarudi mtupu nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ila. Kunakazi ngumu duniani. Hiyo ndiyo bei ambayo. Huwa wanalipwa hawa wadada tena huwa wanalipwa 2000, hapo kaamka saa 11 kuanza kazi hadi usiku jamn jamn hiv haya maisha hadi lin. Na akisambaza chakula akachelewa kukusanya bahati mbaya mteja akaondoka na hela siku hiyo halipwi. Tuwe na huruma jamn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi yangu haipo hivyo mpishi anapika tu na kuhudumia wateja hayo ndio majukumu yake ndani ya eneo la kazi (atapata chakula kwa asubuhi na mchana ) jioni analipwa hiyo Tsh. 3,000.
Kuhusu mtembeza bidhaa hiyo ni kazi nyingine kabisa.

Nmekuelewa mkuu nilifikiri yaan ni yale mateso niliyomuona nayo yule dada aiku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongeza mshahara wewe upate watu waadilifu unataka cheap labour....
Bora upunguze wafanyakazi uboreshe huduma alafu uwalipe kuanzia 5000, maana umesema ni biashara ndogo unayo. Labda iyo posho ya 3000 wawe wanalala hapo hapo na kula hapo.
 
Pumbafu ww hupati mtu hapa
mkuu vip, acha wenzio wachangamkie fursa, ukipiga hesabu ya kula asubuhi 1000, mchana 15000, jumala kama 2500 kwa siku. kwa mwezi ni 75000, hpo jumlisha 3000 ya posho kwa Sikh,kwa mwezi ni 90000, ukijumlisha na 75000= 165000,je mama ntilie gani analipwa pesa hiyo, na kuna ubaya gani hapo.
 
Siku hizi wale wa dada wanalipwa mostly 5000 kwenda juu,
Kazi ya moto siyo mchezo
Ashike sufuria la mchuzi mara wali unaungua huku mboga za majani hazijakatwa,
Vyombo vya kuosha si mchezo!
Ukimlipa kidogo ataishia kuongeza maji kwenye mchuzi na mchele wake apate chochote kitu.
Anyway anaweza akampata kama ni wa maeneo iliyopo biashara yake
 
ndio maana nikamwambia.
 
Back
Top Bottom