Upinzani...

Niliona mwanamke anakuwa shabiki wa mpira mpaka ananunua mijezi na kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa napita pembeni hata kama ni pisi kali...

Hawa wanakuwaga bize kufuatilia mpira bila kujali kufuatilia watoto
Cc: Shadeeya.
 
Hahahah, Kuna ukweli mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…