Upinzani wamtaka Sumaye...

Upinzani wamtaka Sumaye...

Status
Not open for further replies.
Baada ya juhudi za Lowassa na Mbowe kumshawishi Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye ajiunge na CHADEMA kuonekana kutozaa matunda, sasa Mwanasisa huyo mwenye sifa ya kupiga vita ufisadi ameamua kubadilisha uwamuzi wake na kuitikia wito wa Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT), ALEX MALASULA.

Kiongozi huyo wa kiroho amemuomba Sumaye kumuunga mkono Mlutheri mwenzake(Lowassa) katika harakati zake za kuwania nafasi ya kuingia Ikulu baada ya uchaguzi hapo mwezi Oktoba mwaka huu.

Itakumbukwa kuwa 30/12/2013, wakati wa uzinduzi wa Kanisa la LOLE, Usharika wa Mwika katika Diosisi ya Kaskazini, Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe alimuomba SUMAYE ajiunge na Chadema kwa vile yeye ni mpiga vita ufisadi mzuri, vita ambayo kwa wakati huo ndiyo ilikuwa agenga ya CHADEMA.

LEO au siku ya Uzinduzi wa Kampeni za Chadema, Sumaye atatangaza kukihama chama cha Mapinduzi na kujiunga na Chadema. Hata hivyo Sumaye anakwenda CHADEMA, chama ambacho mgombea urais wake alituhumiwa sana na bwana Sumaye kuwa fisadi hadi kufikia hatua ya kufikiria kuchukua maamuzi magumu endapo CCM ingempitisha(LOWASSA) kuwa mgombea urais kupitia chama hicho ambacho kimewalea wote SUMAYE na LOWASSA.

attachment.php
 
Attachments

  • Screenshot_2015-08-22-09-29-01.png
    Screenshot_2015-08-22-09-29-01.png
    131.9 KB · Views: 1,242
hapo kwenye udini tu ndio umenikata maini...kwa hiyo anamfuata Mlutheri mwenzake?? BungelaKatiba2014tz alafu ushahidi wako ni wa 2014

----
 
Last edited by a moderator:
Baada ya juhudi za Lowassa na Mbowe kumshawishi Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye ajiunge na CHADEMA kuonekana kutozaa matunda, sasa Mwanasisa huyo mwenye sifa ya kupiga vita ufisadi ameamua kubadilisha uwamuzi wake na kuitikia wito wa Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT), ALEX MALASULA. Kiongozi huo wa kiroho amemuomba Sumaye kumuunga mkono Mlutheri mwenzake(Lowassa) katika harakati zake za kuwania nafasi ya kuingia Ikulu baada ya uchaguzi hapo mwezi Oktoba mwaka huu.
Itakumbukwa kuwa 30/12/2013, wakati wa uzinduzi wa Kanisa la LOLE, Usharika wa Mwika katika Diosisi ya Kaskazini, Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe alimuomba SUMAYE ajiunge na Chadema kwa vile yeye ni mpiga vita ufisadi mzuri, vita ambayo kwa wakati huo ndiyo ilikuwa agenga ya CHADEMA.
LEO au siku ya Uzinduzi wa Kampeni za Chadema, Sumaye atatangaza kukihama chama cha Mapinduzi na kujiunga na Chadema. Hata hivyo Sumaye anakwenda CHADEMA, chama ambacho mgombea urais wake alituhumiwa sana na bwana Sumaye kuwa fisadi hadi kufikia hatua ya kufikiria kuchukua maamuzi magumu endapo CCM ingempitisha(LOWASSA) kuwa mgombea urais kupitia chama hicho ambacho kimewalea wote SUMAYE na LOWASSA.

View attachment 279052

Atakayebaki CCM akapimwe akili
 
acheni kuchonganisha udini nyiee magamba ...jiandaeni kwenda jangwani jpili sio kuleta uzushi humuuuu
 
Haaa yametokea mengi na tunasubiri mengine mengi yatokee
October mbona uko mbali ivyo?

:banplease:
 
CCM wana haha sana mwaka huu....vijarida vya kichchezi hatutaki Watanzania ni wamoja.....
 
Mpaka sasa mkuu wa kanisa la KKKT ni Mzee Shoo.........na sio Malasusa tena. Reference uliyoiweka ni ya 2014. Makalio yako!!!!!
 
Huyu hajielewi,,reference kaweka ya January 2014 ,,,Halafu Malasusa sio Mkuu wa KKKT tena..
 
acheni kuchonganisha udini nyiee magamba ...jiandaeni kwenda jangwani jpili sio kuleta uzushi humuuuu

Mparanganyiko wa fikra , malengo na nia umeendelea kuiangamiza ccm, sasa ni kuleta ----- kwenye kila post ......
 
CCM sasa hivi wanatembelea hoja ya udini na ukanda tu,nje ya hapo hawana hoja.
 
MALASUSA kashastaafu sasa hivi kuna askofu Shoo ndo kashika wadhifa wa kiongozi mkuu wa KKKT
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom