OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Mbona hawamsemi mama salma amekuwa akimwamrisha mwamunyange???
Wewe ni mpuuzi sana. Nimekuwa nikiona posts zako siku nyingi sasa lazima kukwambia. Acha ushenzi, acha kauli za uchochezi. Shetani mpaka kwenye sakafu ya moyo wake. Ulaani wewe na shetani wakupokee leo katika ufalme wao. hufai kuwa duniani. Maneno yako hayo ni hatari sana. Umemsikia Sumaye akisema hivyo?Damu ni nzito kuliko maji, Tamaa mbele mauti nyuma. Leo saa sita mchana, Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, FREDRICK TLUWAY SUMAYE atatangaza rasmi kujiunga na chama cha CHADEMA, uamuzi alioufikia baada ya kukutana na EDWARD NGOYAI LOWASSA na kumhakikishia kuwa lazima ashinde na asiposhinda DAMU ITAMWAGIKA.
Pamoja na Tamaa ya Madaraka aliyonayo Sumaye na ukweli kwamba wanatoka Kanda moja na Lowassa kuwa miongoni mwa sababu za Sumaye kuamua kuhamia CHADEMA kwa kivuli kwamba anamfuata Lowassa, PIA ATAKUWA AMEFIKIA UAMUZI HUO ILI KUJISALIMISHA MAPEMA KWA LOWASSA KWA VILE YEYE(SUMAYE) ni miongoni mwa watu WALIOMPIGA SANA LOWASSA KUWA NI FISADI. SUMAYE ameamua kuweka silaha chini na kujisalimisha.
Sumaye ana lipi jipya atakalowaongezea CHADEMA zaidi ya sifa ya Uwaziri Mkuu Mstaafu tu?
Kila la heri SUMAYE huko uwendako, ila uangalie usiende kuwa kero kwa wenye chama kama walivyokero akina ESTER BULAYA, MKONGORO MAHANGA, SAIDI MKUMBA, KAFULI n.k.
Tamaa Mbele Mauti NYUMA.
Damu ni nzito kuliko maji, Tamaa mbele mauti nyuma. Leo saa sita mchana, Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, FREDRICK TLUWAY SUMAYE atatangaza rasmi kujiunga na chama cha CHADEMA, uamuzi alioufikia baada ya kukutana na EDWARD NGOYAI LOWASSA na kumhakikishia kuwa lazima ashinde na asiposhinda DAMU ITAMWAGIKA.

CCM wanaendekeza ubaguzi kina Moderator wapo kimya tu...
Ndo unaleta habari au majungu?? Mbona nyinyi hamsemi chama kimekuwa cha mwenyekiti na familia yake!? Wengine ni vyambo tu humo ndani