Upinzani waanza kumdai mrithi wa Prof. Muhongo

Upinzani waanza kumdai mrithi wa Prof. Muhongo

Teh!😀 Teh!😀 Teh!😀 cheki CHADEMA wanavyo tapatapa kutafuta agenda ya kudumu
Wanagusa gusa kila kitu, na vyote vinawashinda
Mara ajenda ya kupinga udikitekta, Mara ajenda ya kuwapigania waislamu, Mara uchumi, Mara rasilimali za taifa

BENKI IMEPUNGUZA RIBA WAMEKUJA NA KIPYA TENA CHADOMO SHEEDA
 
Back
Top Bottom