minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Ni mara 100 wafute mfumo wa vyama vingi Duniani kote wajue moja kuliko kuwafanyia Visa visa vya kishamba shamba toka kolomije na chato.Hahaha wanaandaa muswaada wakuwataka vyama mbadala vyote kuwa na kumbi zao za mikutano kila kata, ni marufuku kufanya mikutano viwanja vya shule au vya wazi. Wanataka indoor political meetings, Fiesta ya clouds ilizuiwa hata hili wataweza.