Upinzani si Uadui

Upinzani si Uadui

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
df1d061ea9216ffbe6ab24f4bb93a479.jpg
 
Mbona wa kwetu wakialikwa futari ikulu wanasusia kama sio uadui,mpinzani wa kweli ni prof lipumba tu.
 
Hawaitani waheshimiwa lakini wanaheshimiana sana.

Yaani kitendo cha mbunge mmoja kusema Trump anapelekeshwa na mtu mwingine. Mbunge mwingine amelaani kuwa hilo ni tusi kwa Trump. Jinsi wanavyoheshimiana.

Bunge la Tanzania lina wabunge wanatumia lugha za mitaani mpaka spika kuitwa fala.

"Strange accuses Moore of making ‘insulting’ comments on Trump" - Washington Post.
 
Upinzani wetu ni wa majogoo wa kienyeji.
 
Nari-save comments zangu.......

Nahofia kuitwa nawashwawashwa!
 
Back
Top Bottom