Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,637
- 272,440
ndaga fijo mwaipungu .
Wewe kinyago afadhali sasa umeamua kuandika kwa lugha ya Taifa. Kiingereza hukiwezi hata kidogo. Acha kujifanya mjuaji. Badala ya kuendela kutetea ujinga wako ni vyema ukatafakari ni wapi unapokosea. Hii itakusaidia hapo baadae.Ubaya hujui ndio mana unashindwa kuelewa. Hv unaelewa lugha gani nikueleze ama ndio na mpigia mbuzi gita acheze.
Endelea kujitutumua na hicho kiinglish chako. Wewe ni kichekesho.
Wewe kinyago afadhali sasa umeamua kuandika kwa lugha ya Taifa. Kiingereza hukiwezi hata kidogo. Acha kujifanya mjuaji. Badala ya kuendela kutetea ujinga wako ni vyema ukatafakari ni wapi unapokosea. Hii itakusaidia hapo baadae.
Haisaidii. Hata nyani anajua Kiingereza zaidi yako. Ni vizuri ukaelewa hivyo.Wonders will never end in this world, as I try to plant a seed of hope, a fool like you destroys it, but the fact that am determined to sparkle change, I hope to still walk through that road. I am not afraid of tsunami but am afraid of seeing a state of ignorance. So Mr. RUNGU be smart and wise at the same time, for the world is no more of a place of barbarism and savages like you. The world we are living in is a world of smart and wise men.
Unajua kwa kasi yote hii ya Magufuli ni kwa sababu ya upinzani? Na mambo yote haya anayofanya Magufuli ni results za opposition. Kwa kweli opposition inastahili pongezi kwa kufanya mfalme mjinga kupata maarifa.
Mimi nasema bila upinzani basi hakuna new ideas kama the ones that are in power have all hope to exist in the next few years again. Lakini kwa kweli bado tunahitaji mambo kuwa vizuri na makini kama ideas za upinzani. Nadiriki tena kusema CCM haina jipya, ni mwendo wa kukopi na kupaste ideas za wapinzani.
Anyway its for the interest ya nchi hii. Sasa Lowasa pamoja na umoja wa vyama vyoa ni philosophy ambayo watu makini itadumu kwa maisha mana sasa its too early to judge kuwa tumepata mafanikio.
Itapofika kwenye kutengeneza katiba hapo ndio itakua shughuli pevu, ngoja uone how stupid MPs of CCM are. They support what they don't know and sign what they don't even read thoroughly before approval. But also, they can't even write a paragraph of 20 lines to explain about themselves. This is shameful.
With oppositions, chama tawala kitatia akili tu. Na kwa progress ambayo upinzani wamefikia bs, ni dhairi kuwa sasa upinzani umekomaa na upo vzr.
Bado reward waliyoipata kupitia wabunge hairidhish kitu kinachoonesha kwa upande wa waananchi kuna jambo haliko sawa. Cjui hata bungeni itakuwaje sababu kama mh ataendelea na kasi hii manake serikali itakuwa inapeleka bungeni miswada yenye tija na iliyochambuliwa hivyo wapinzan pamoja na washabiki watakuwa hawana kazi
Tafadhali, naomba nawe umkosoe kwa kidhungu tuuone ubora wako, teheeeeh!Hivi wewe Mwaipungu ni wa wapi wewe, mbona unawafedhehesha kina Mwa, kiingereza gani hicho?
Unajua kwa kasi yote hii ya Magufuli ni kwa sababu ya upinzani? Na mambo yote haya anayofanya Magufuli ni results za opposition. Kwa kweli opposition inastahili pongezi kwa kufanya mfalme mjinga kupata maarifa.
Mimi nasema bila upinzani basi hakuna new ideas kama the ones that are in power have all hope to exist in the next few years again. Lakini kwa kweli bado tunahitaji mambo kuwa vizuri na makini kama ideas za upinzani. Nadiriki tena kusema CCM haina jipya, ni mwendo wa kukopi na kupaste ideas za wapinzani.
uchafu wa mrisho unamfanya msafi aonekane Benja. siamini kama Tanzania ni hayo tu. shida ya Tanzania siyo watu imara bali mfumo imara. Tunahitaji wafanyakazi washapiwe na mfumio wala siyo hofu ya kufukuzwa makazini.
Hii haina tofauti na mwizi. wezi wa simu mjini hawaishi mbali na kujua akikamatwa atachomwa moto. hufanya patapotea. mfumo uwaandae watu kuwa na nidhamu ya utumishi wa umma na siyo hofu ya kufukuzwa.
HAKUNA JIPYA, ANAYAFICHUA MAHOVU YA WAOEM AMBAYO YALIPIGIWA KELELE ZAMANI MNO. BADO MADUDU YAPO TU. TUNAHITAJI MFUMO MPYA KUONDOA YOTE.