Unajua kwa kasi yote hii ya Magufuli ni kwa sababu ya upinzani? Na mambo yote haya anayofanya magufuli ni results za opposition. Kwa kwl opposition inastahili pongezi kwa kufanya mfalme mjinga kupata maarifa.
Mm nasema bila upinzani basi hakuna new ideas kama the ones that are in power have all hope to exist in the next few years again. Lakini kwa kwl bado tunahitaji mambo kuwa vizuri na makini kama ideas za upinzani. Na diriki tena kusema CCM haina jipya, ni mwendo wa kukopi na kupaste ideas za wapinzani.
Anyway its for the interest ya nchi hii. Sasa Lowasa pamoja na umoja wa vyama vyoa ni philosophy ambayo watu makini itadumu kwa maisha mana sasa its too early to judge kuwa tumepata mfanyikio.
Itapofika kwenye kutengeneza katiba hapo ndio itakua shuhuli pevu, ngoja uone how stupid MPs of CCM are. They support what they don't know and sign what they don't even read thoroughly before approval. But also, they can't even write a paragraph of 20 lines to explain about themselves. This is shameful.
With oppositions, chama tawala kitatia akili tu. Na kwa progress ambayo upinzani wamefikia bs, ni dhairi kuwa sasa upinzani umekomaa na upo vzr.