Kwa muda sasa hata vyombo vya habari vimepuuza kabisa kureport taarifa za upinzani nchini ukiacha gazeti moja la Tanzania Daima ambalo ni rahisi kujua kwanini wamebaki peke yao!
Moja ya sababu ni kukithiri kwa migogoro ndani ya vyama vya siasa ISIYOTAFUTIWA MAJAWABU KWA MUDA SAHIHI! Eg. Chadema na Zitto, CUF Seif na Hamad Rashid. Ongeza sababu zingine hapa!

"Hakika wanaimarika" ... Kwa kushinda kata tatu kati ya 27 pamoja na kurusha chopa tatu, aaah wanakubalika sana. "Hakika wanakubalika" kwa kupata asilimia 11% uchaguzi mdogo wa Kalenga na asilimia 10% uchaguzi mdogo wa chalinze, aaaaahkh!! Kweli upinzani unakua sanaaaaaaaHili linaisaidiaje ccm kuboresha maisha ya kila mtanzania?
Nikweli kwamba ccm hawana mnyukano na mkizano wa mawazo na migogoro?
Je mansoor alifukuzwa au alijitowa
Vipi kuna uhusianogani kati ya Lowasa na membe?
Upinzani kwa taarifa yako umeimarika na kujiimarisha zaidi wakati huu, watu wanaukubali na mikutano yao inajaza
watanzania bila kanga, tisheti, kofia, wali au nyama-ccm inavutia watu kwa vitu hivyo, tafakali kwa undani utafaham.
Wapinzani ni kama moto wa bua vile. Unawaka kwa kasi ila makali yake ni ya muda mfupi tu
CCM ni manyani yanaranda randa kutafuta mahindi mabichi. NI UTAAHIRA MKUBWA SANA KUWA MWANA CCM.
"Hakika wanaimarika" ... Kwa kushinda kata tatu kati ya 27 pamoja na kurusha chopa tatu, aaah wanakubalika sana. "Hakika wanakubalika" kwa kupata asilimia 11% uchaguzi mdogo wa Kalenga na asilimia 10% uchaguzi mdogo wa chalinze, aaaaahkh!! Kweli upinzani unakua sanaaaaaaa
Kunawakati mpubavu hujitekenya na kucheka kisha hukimbia/hutembea akiwa uchi na kujinasibu amevaa suti, wewe nimmojawapo.
-Propaganda na ukweli vinatofautiana sana na majungu na mipasho ni hazina ya mwerevu kwa mjinga na --------.
a) nimekuuliza haya yanaisaidiaje ccm kuwakwamua watanzania kutoka dimbwi la umaskini na balaa ujinga?
b) unaweza kunasibisha vipi kashifa za udin na ukabila kuelekea chaguzi mbalimbali-zingatia siasa za ccm
c) kunauwiano gani wa usawa katika
i) Tume huru ya uchaguzi isiyoelemea upande wowote, mara ngapi tumewasikia wakikandamiza upinzani?
ii) vyombo vya dola katika kuhakikisha watanzania wanafanya uchaguzi bila vitisho na lazima za watawala?
iii) vyombo vya maamuzi hususani mahakama, je vipi mara kadhaa kumekuwa na kauli tata kuhusu utendaji wa ovyo kwa chombo hiki?
iv) Ni kweli kwamba daftari la wapiga kura limeboreshwa kwa uwazi na mujibu wa sheria? kama bado kwanini?
Hayo yote ukiyachnaganya nakuyaweka katika kapu moja utapata ushindi batili wa ccm, wala sio wa haki na kweli, nakwa watu wajinga na wapumbavu ambao uelewa wao ni kama vichaa hushupalia na kuushangilia ilhali haki ikiwa imepewa kisogo.
Unalaana wewe ya baba na mama yako maana umewatukana kuwa wapumbavu kisa tu wametoa kura zai kwa CCM kwa miaka yote! Mabavicha bwana full viroba tu akili zao zote!
Kunawakati mpubavu hujitekenya na kucheka kisha hukimbia/hutembea akiwa uchi na kujinasibu amevaa suti, wewe nimmojawapo.
-Propaganda na ukweli vinatofautiana sana na majungu na mipasho ni hazina ya mwerevu kwa mjinga na --------.
a) nimekuuliza haya yanaisaidiaje ccm kuwakwamua watanzania kutoka dimbwi la umaskini na balaa ujinga?
b) unaweza kunasibisha vipi kashifa za udin na ukabila kuelekea chaguzi mbalimbali-zingatia siasa za ccm
c) kunauwiano gani wa usawa katika
i) Tume huru ya uchaguzi isiyoelemea upande wowote, mara ngapi tumewasikia wakikandamiza upinzani?
ii) vyombo vya dola katika kuhakikisha watanzania wanafanya uchaguzi bila vitisho na lazima za watawala?
iii) vyombo vya maamuzi hususani mahakama, je vipi mara kadhaa kumekuwa na kauli tata kuhusu utendaji wa ovyo kwa chombo hiki?
iv) Ni kweli kwamba daftari la wapiga kura limeboreshwa kwa uwazi na mujibu wa sheria? kama bado kwanini?
Hayo yote ukiyachnaganya nakuyaweka katika kapu moja utapata ushindi batili wa ccm, wala sio wa haki na kweli, nakwa watu wajinga na wapumbavu ambao uelewa wao ni kama vichaa hushupalia na kuushangilia ilhali haki ikiwa imepewa kisogo.
Kwa muda sasa hata vyombo vya habari vimepuuza kabisa kureport taarifa za upinzani nchini ukiacha gazeti moja la Tanzania Daima ambalo ni rahisi kujua kwanini wamebaki peke yao!
Moja ya sababu ni kukithiri kwa migogoro ndani ya vyama vya siasa ISIYOTAFUTIWA MAJAWABU KWA MUDA SAHIHI! Eg. Chadema na Zitto, CUF Seif na Hamad Rashid. Ongeza sababu zingine hapa!
kutokana na vichwa vyao hili swali ni gumu utaishia kutukanwa tu
iKwa muda sasa hata vyombo vya habari vimepuuza kabisa kureport taarifa za upinzani nchini ukiacha gazeti moja la Tanzania Daima ambalo ni rahisi kujua kwanini wamebaki peke yao!