Hakuna Chama cha Upinzani kinachoweza kuitawala Nchi

hannibali

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
468
427
Habari za muda huu wanajamii forum wote natumai ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kutafuta riziki:

Kwa ufupi ni kwamba nchi ya Tanzania kwa sasa inaenda kwenye uchaguzi mkuu mwezi october na kama ilivozoeleka kunapokaribia uchaguzi lazima kunakuwa na upepo wa uelekeo hasa kujua nani mwenye uwezekano mkubwa wa kuongoza nchi.

Kwa hakika nimejaribu kufatilia siasa za tanzania japo kwa ufupi nimegundua kwamba hali halisi kwa sasa inadhihirisha wazi pasipo shaka kuwa hakuna chama cha upinzani ambacho kinaweza kuaminiwa na watanzania kupewa dola (namaanisha iwe angalau 50% kutoka upinzani). hii inatokana na ukweli kwamba hakuna chama ambacho kinawekaga wazi sera zake za kuwakomboa watanzania, zaidi ya kupatia umaarufu kupitia udhaifu wa CCM ambacho ndio chama tawala,

Na hii itakuja kuwaathiri vibaya sana kwa sababu inaonesha dhahiri kwa sasa CCM inaendelea kujiimarisha na kuwa wamoja wakati huo vyama vya upinzani vinayumba.

Nawashauri wapinzani kujipanga na kujiimarisha kwa kujikita katika siasa za hoja na agenda za maendeleo ili kuaminika kwa wananchi.

CCM inahakikisha inabaki madarakani huku wapinzani wakijitutumua kuingia, huu ni msigano unaohitaji ushindani wa hoja sio vioja.

hakuna viongozi wa kueleweka wa upinzani wanaoweza kuongoza nchi hii ikafika kwa sababu vyama vya upinzani vinategemea umaarufu wa mtu mmoja mmoja badala ya uimara na umaarufu wa chama. mfano CHADEMA kinamtegemea mtu mmoja tu au wawili wengine wote hopeless. NCCR ndio kabisaaa.

CUF hata matamko tu ya kawaida wanamtegemea mwenyekiti wao na kumlazimisha kugombea ili hali hataki.

Kauli za mara kwa mara za vitisho na viashiria vya kuligawa taifa kutoka kwa viongozi wa upinzani nazo zimekuwa na mchango mkubwa kupunguza imani ya watanzania kwa wapinzani.

NB: Ni wakati muafaka sasa, kuliko kutegemea udhaifu wa utawala iliopita kupata point majukwaani ni heri wajikite kwenye kuweka Sera mzuri zenye kuwakomboa watanzania ili waweze kuaminika na wananchi
 
Makende yako+ babk.
 
jamani wakuu muwe mnaweka akiba ya maneo jana sio leo hata wakati dini zinaingia zilikua chache leo ni utitiri maana yake kila dakika kila saa na kila mezi mabadiliko hutoke, mfano ni kwa kipi tutashanga kwmba wapinzani wamechukua nchi hapa tz ndo tutakua wa kwanza katika dunia hii, cha msingi chama dola wajipange kama wanataka ushindi ila mkikaa kujifariji mtapigwa na msiamini, kila chama ambacho kipo halali tz kina haki ya kuongoza taifa hakuna chama chenye hatimiliki na nafikili watanzania wangeanzisha mfumo tu chama flani kikiingia madarakani na kupurunda ni kupiga chini na kuweka kingine ,hivyo hivyo hata nacho kikivurunda ,tukifanya hivyo kama miaka 15 mfululizo lazima tuelewane
 
Habari za muda huu wanajamii forum wote natumai ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kutafuta riziki:

Kwa ufupi ni kwamba nchi ya Tanzania kwa sasa inaenda kwenye uchaguzi mkuu mwezi october na kama ilivozoeleka kunapokaribia uchaguzi lazima kunakuwa na upepo wa uelekeo hasa kujua nani mwenye uwezekano mkubwa wa kuongoza nchi.

Kwa hakika nimejaribu kufatilia siasa za tanzania japo kwa ufupi nimegundua kwamba hali halisi kwa sasa inadhihirisha wazi pasipo shaka kuwa hakuna chama cha upinzani ambacho kinaweza kuaminiwa na watanzania kupewa dola (namaanisha iwe angalau 50% kutoka upinzani). hii inatokana na ukweli kwamba hakuna chama ambacho kinawekaga wazi sera zake za kuwakomboa watanzania, zaidi ya kupatia umaarufu kupitia udhaifu wa CCM ambacho ndio chama tawala,

Na hii itakuja kuwaathiri vibaya sana kwa sababu inaonesha dhahiri kwa sasa CCM inaendelea kujiimarisha na kuwa wamoja wakati huo vyama vya upinzani vinayumba.

Nawashauri wapinzani kujipanga na kujiimarisha kwa kujikita katika siasa za hoja na agenda za maendeleo ili kuaminika kwa wananchi.

CCM inahakikisha inabaki madarakani huku wapinzani wakijitutumua kuingia, huu ni msigano unaohitaji ushindani wa hoja sio vioja.

hakuna viongozi wa kueleweka wa upinzani wanaoweza kuongoza nchi hii ikafika kwa sababu vyama vya upinzani vinategemea umaarufu wa mtu mmoja mmoja badala ya uimara na umaarufu wa chama. mfano CHADEMA kinamtegemea mtu mmoja tu au wawili wengine wote hopeless. NCCR ndio kabisaaa.

CUF hata matamko tu ya kawaida wanamtegemea mwenyekiti wao na kumlazimisha kugombea ili hali hataki.

Kauli za mara kwa mara za vitisho na viashiria vya kuligawa taifa kutoka kwa viongozi wa upinzani nazo zimekuwa na mchango mkubwa kupunguza imani ya watanzania kwa wapinzani.

NB: Ni wakati muafaka sasa, kuliko kutegemea udhaifu wa utawala iliopita kupata point majukwaani ni heri wajikite kwenye kuweka Sera mzuri zenye kuwakomboa watanzania ili waweze kuaminika na wananchi
Naunga mkono hoja!
 
Nchi haitawaliwi bali ina ungozwa. Watawala ni wafalme tu
 
Mkuu watanzania wengi wetu hatupendi Chama kinachotutawala.

Maana mtawala hanaga urafiki wa dhaki na anayemtawala.

CHAMA KITAKACHOTUONGOZA KIRAFIKI KITAKUJA.
 
Back
Top Bottom