Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Huyo ni Mnyarwanda hivyo anafanya kazi iliyo mleta hapa Tanganyika .Duh..
MATAGA ni shida
Kura ziliibiwa nyinyi wenye kura mkiwa wapi? Mmelala au? Sasa tukiwapa nchi nayo si itaibiwa? Basi hatuwapi nchi mpaka mjipange vizuri na kujitambua tusije tukaibiwa nchi jumla jumla!!Kura zisingeibiwa tungekuwa tunaongea mengine hapa
Mimi binafsi nilipigwa bila hatiaKura ziliibiwa nyinyi wenye kura mkiwa wapi? Mmelala au? Sasa tukiwapa nchi nayo si itaibiwa? Basi hatuwapi nchi mpaka mjipange vizuri na kujitambua tusije tukaibiwa nchi jumla jumla!!
Jibu maswali yangu kwanza achana na kupigwa!Mimi binafsi nilipigwa bila hatia
Siwezi kumjibu mtu mwenye IQ hafifuJibu maswali yangu kwanza achana na kupigwa!
Aongezewe na nani ? Niwapeni dokezi tuu, madaraka aliyopewa raisi wa Tanzania yanamzidi hata mfalme wa nchi duniani. Nakupeni dokezi tuu, kabla hamjaanza harakati ya kumuongeza kwanza mtafakari hili.Kwa hali kama hii napendekeza Magufuli aongezewe miaka 10 baada ya 2025 ili anyooshe mapito yaliyopinda. Na ikiwezekana atawale mpaka afie madarakani maana huyu rais ni chaguo la Mungu na ni mzalendo kweli kweli.!