Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Sawa tuweke tume huru tutiki wote au unasemaje?
Kisukari unacho wewe. SINA KISUKARI WALA SITAKUWA NA KISUKARI. Ila huyo bibi yenu hamtatikiOctober ukapime kisukari ili uanze dawa mapema
Tuweke mpira katikati tucheze tutiki wote au unasemaje?Umenena ukweli mchungu
Upo serious?Mpira tayari upo Kati kitambo sana
Utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, 2020 ndiyo inayopaswa kuwa silaha yetu ya ushindi 2025, kwani historia huwakumbuka wanaotenda. Wana CCM wanakila sababu ya kutembea kifua mbele wakijivunia uimara wa chama chao.Tanzania tuna Upinzani wenye zero critical thinking skills.
Karne ya sasa huwezi ukakubalika kwa kutukana watu, kwa kudanganya watu, kwa kueneza roho ya chuki au kuonyesha uchu wa madaraka au kwa kutumia Hawa manabii wakitapeli akina Gwajima kwasabu watu tunaona na tunajua, tunajua na tunaona kazi nzuri aliyoifanya Mh Rais.
Mh. Rais Dr Samia
👉🏿amekuta watu hawapandi madaraja akawapandisha,
👉🏿amekuta ajira hazipo ameanza kutoa ajira,
👉🏿amekuta nyongeza ya Mishahara haipo ameanza kutoa nyongeza ya Mishahara,
👉🏿amekuta mbolea inauzwa laki na 70 akatoa ruzuku kwenye kilimo sahz mbolea ni below 60k
👉🏿Amekuta mtaala wa zamani akaanzisha mtaala mpya wa Elimu na ndio unaotumika mpaka sasa.
👉🏿Amekuta kima Cha chini Cha mshahara ni laki 250 sahzi Kima Cha chini ni laki 5.
👉🏿Amekuta daraja la busis lipo 18% Leo hii limezinduliwa na linatumika
👉🏿Amekuta Wananchi tunachangishwa kujenga madarasa akajenga madarasa nchi nzima bila mwananchi kuguswa mifukoni mwao.
👉🏿 Amekuta vyama havipokei ruzuku akaanza kuvipa ruzuku
👉🏿Amekuta boom elfu 6 sahz boom elfu 10
👉🏿Amekuta diploma hawapati mikopo sahzi wanapata
👉🏿Amekuta Elimu Bure ni kuanzia awali Hadi kidato Cha nne sahz Elimu Bure ni kuanzia awali mpaka kidato Cha sita
Kwahyo Upinzani wetu bado hamna nguvu yakufuta haya mambo mazuri yaliyofanywa na yanaendelea kufanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.
Nashangaa kuona Upinzani wetu unaamini kwenye uchawi hawajui kuwa mamlaka zote Dunian zimeumbwa na Mungu na zinalindwa na Mungu uchawi hauna nafasi.
Imagine mtumishi wa Mungu anatoa unabii wakichawi STUPID!
Dhidi ya naniSAmia atashinda uchaguzi asubuhi na mapema kwasabu mpaka Sasa ndiye mgombea ambaye anasifa zakupigiwa kura kutokana na utendaji kazi wake