Upinzani hili tu linatosha kuimaliza CCM!

Subiri waje wazungusha mikono wenzako million 6
Ila sisi million 8 tuko nyuma ya magufuli asiye mnafki
Hao wenzako wameshawakera Watanzania wa kweli pale walipo wapa nafasi mafisadi wajaribu kushika Ikulu
Hata hivo kwa kuweka sawa tu ni kwamba tumeanzisha mahakama ya mafisadi inakuja ambapo DPP atapeleka Mashauri yote inaanza kazi julai
Pumba tupu.
 
Bila shaka wewe Agnes Marwa
 
Kitendo cha serikali kuzuia vikao vya bunge kioneshwa na vyombo vyote vya habari nchini kwa sasa ccm ndio wanaojipalia makaa bila kujua, uamuzi huu unachukuliwa kama uamuzi mbaya ambao chama kipo nyuma yake. Huu uamuzi haukumpendeza mtanzania yeyote awe na chama na hata asiye na chama.

Sasa upinzani tokeni nje unganeni na taasisi zingine ambazo hazipendezwi na uamuzi huo, waambieni Watanzania ukweli wa jambo hili, Kama upinzani walikua wanatumia nafasi hiyo kujipatia umaarufu basi hata ccm walikua na nafasi hiyo pia! Hapa ni kidhibitisho kwamba hoja za upande mmoja zilikua na nguvu kuliko upande mmoja na hii ni kujaribu kuunyamazisha sasa.
Hoja nyepesi sana hio watanzania wapi Mimi simo kwenye mawazo hayo ninataka maendeleo basi hamna kingine
 
Subiri waje wazungusha mikono wenzako million 6
Ila sisi million 8 tuko nyuma ya magufuli asiye mnafki
Hao wenzako wameshawakera Watanzania wa kweli pale walipo wapa nafasi mafisadi wajaribu kushika Ikulu
Hata hivo kwa kuweka sawa tu ni kwamba tumeanzisha mahakama ya mafisadi inakuja ambapo DPP atapeleka Mashauri yote inaanza kazi julai
pia miaka yote hua wanaapia ni lazima waitoe ccm lakini wanaangukia pua, let them keep on waiting some food in empty pot, ccm haiwezi toka kwa upinzani huu tulio nao
 
Bora uwashauli warudi kwenye siasa zao za matukio..
 
Si sawa na ndiyo maana hajawa mwenyekiti wa chama. usilinganishe elimu ya mbunge wa kawaida kama huyu aliyetimiza vigezo vya kikatiba vya kuwa mbunge na kiongozi anayeongoza taasisi yenye wasomi kibao.
pumba tupu

swissme
 
Nyie acheni akili za kitoto. Unaonyesha matokeo ya mtu ili iwe nini? Naweza kufeli this year nikarisit then nikatoka. Sie ambao tumefikia hadi elimu ya chuo kikuu tuna reference kibao. Kuna watu matokeo ya Alevel hayakuwa mazuri lakini kufika chuo kikuu wamefanya vizuri hadi kubakia kufundisha. Tatizo wenye elimu ndogo ndo wakosoaji wakubwa. Tumieni vichwa kufikiri

Huko elimu ya juu kuna ufaulu kwa kigezo cha nguo ya kwanza/mwisho pia usisahau hilo
 
Ajira ya wengine ni kuonyesha matangazo ya bunge live kwa tsh 500 mpira 1000 lazima walalamike ndo ajira yao
 
hili jambo limeudhi watanzania wengi bila kujali vyama. uwalakini wa JPM umeanzia hapo..

Yaaan unachekesha tu unaokoteza vihoja mfu mara mnarukia hiki mara kile kwa mfano huku machame mkwarungu kwa mbowe tuko bize na shuguli za shambani mara ada za watoto mara biashara zetu ndogo ndogo hata hatujui kama kuna bunge linaloendelea ,kwa hiyo usijitoe ufaham ,hata na hivyo ni wangapi wenye hizo tv ,na umeme umesambaa kwa asilimia ngap huko kijijin , acheni kujidanganya na bunge kama ndo hoja ya msingi
 
Mnaboa sana wakuu, hamna kingine cha kuongelea? Live live live,aagh!
 
Kitendo cha serikali kuzuia vikao vya bunge kioneshwa na vyombo vyote vya habari nchini kwa sasa ccm ndio wanaojipalia makaa bila kujua, uamuzi huu unachukuliwa kama uamuzi mbaya ambao chama kipo nyuma yake. Huu uamuzi haukumpendeza mtanzania yeyote awe na chama na hata asiye na chama.

Sasa upinzani tokeni nje unganeni na taasisi zingine ambazo hazipendezwi na uamuzi huo, waambieni Watanzania ukweli wa jambo hili, Kama upinzani walikua wanatumia nafasi hiyo kujipatia umaarufu basi hata ccm walikua na nafasi hiyo pia! Hapa ni kidhibitisho kwamba hoja za upande mmoja zilikua na nguvu kuliko upande mmoja na hii ni kujaribu kuunyamazisha sasa.

Mkuu, kupanga ni kuchagua. Fedha za kuonesha bunge "LIVE", zimeelekezwa katika kutumbua majipu "LIVE".

Huu ni wakati wa wananchi kuona tuhuma za watendaji "LIVE" na sio wakati wa wananchi kufahamu sababu na ushahidi wa mapungufu ya utendaji wa serikali yao "LIVE".
 
Back
Top Bottom