MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kitendo cha serikali kuzuia vikao vya bunge kioneshwa na vyombo vyote vya habari nchini kwa sasa ccm ndio wanaojipalia makaa bila kujua, uamuzi huu unachukuliwa kama uamuzi mbaya ambao chama kipo nyuma yake. Huu uamuzi haukumpendeza mtanzania yeyote awe na chama na hata asiye na chama.
Sasa upinzani tokeni nje unganeni na taasisi zingine ambazo hazipendezwi na uamuzi huo, waambieni Watanzania ukweli wa jambo hili, Kama upinzani walikua wanatumia nafasi hiyo kujipatia umaarufu basi hata ccm walikua na nafasi hiyo pia! Hapa ni kidhibitisho kwamba hoja za upande mmoja zilikua na nguvu kuliko upande mmoja na hii ni kujaribu kuunyamazisha sasa.