Upinzani hauna tija kwa watanzania

Upinzani hauna tija kwa watanzania

Average IQ Ranks
#10 Sudan?Average IQ 72
#9 Tanzania?Average IQ 72
#8 Ghana?Average IQ 71
#7 Nigeria?Average IQ 67
#6 Guinea?Average IQ 66
#5 Zimbabwe?Average IQ 66
#4 Democratic Republic of the Congo?Average IQ 65
#3 Sierra Leone?Average IQ 64
#2 Ethiopia?Average IQ 63
#1 Equatorial Guinea?Average IQ 59
Austria is a small landlocked nation that shares borders with countries like Germany, Switzerland and Italy. Education is free and compulsory for Austrian children for at least nine years, with many going on into higher education.
 
Kushindwa kwa upinzani kushika dola mwaka huu ni uthibitisho uliodhahri kuwa umekosa tija na kujenga matumaini kwa watanzania.

Kuna sababu nyingi unapolizungumzia hili lakini kwa ufupi naomba tuangalie vipengele hivi;

1. Kukosa dira inayoeleweka
Upinzani ulikosa kabisa muelekeo hassa baada ya ujio wa Lowasa na kuondoka kwa Slaa.

Watanzania walioahidiwa mabadiliko thru M4C walikuwa wakijua fika changes walzokua wanazitaka ni za utawala bora na si vinginevyo! Kwa bahati mbaya utawala bora ukawa hausemeki tena, na jibu likawa shida sio mtu bali ni mfumo, bila ya kujali kuwa mifumo inaharibiwa au kuboreshwa na watu! Mbaya zaidi mwisho ikawa hata mkituwekea jiwe tutalixhagua hapo nadhani watu walishakubali kuwa mgombea wetu hafanani na chochote tunavhohubiri! Kinyume chake ni ccm kuleta all justification kuwa mgombea wao ndiye mtu ambaye watanzania walikuwa wakimtafuta!

Simply ccm walisema kweli chama chetu hakipo safi Ila sio mfumo Bali ni kikundi tu cha watu akiwemo huyo aliyekuja kwenu na wengine wachache! Kama mfano wa Magufuli wa kitanda na kunguni! Nadhani watanzania walipima gharama ya dawa ya kuua wadudu au kununua godoro jipya na kitanda!

2. CCM ilikuwa katika migogoro mikubwa zaidi ya 6 lkn bado wapinzani walishindwa kutumia fursa.
A. Sakata la escrow
B. Tatizo la umeme
C. Kipindupindu
D. Ukosefu wa ajira kwa vijana
E. Malipo ya watumishi wa umma
F. Kuporomoka na uratibu mbovu wa elimu (nursery-university)

Kila mgogoro hapo juu ni topic on its own, lakini kwa kutojipanga wapinzani hawakutoa majibu kwa wananchi, yaani kwa kifupi bado wananchi waliona kuwa hata huko napo watakuwa wanabahatisha tu. Ccm ilikuwa imeshimdwa mno ktk maeneo hayo, lkn Lowasa hakuja na jibu hata la tatizo moja.

3. Muungano wa mashaka
Pamoja na kuunganisha vyama vinne bado upinzani ulishindwa kuiporomosha ccm, na changamoto kubwa ilikuwa n ndoto ya kuiangusha ccm bila kujali msingi unaosimamia umoja wao! Ishara za kutoaminiana zilipoanza ndani yao, ccm ilitoosha kutumia hizo propaganda!

Lakini ikumbukwe kuwa wakati wapinzani walipokuwa wakiungana ccm ilikuwa inamegeka, so ukawa walishindwa kuiangusha ccm ktk muda ambapo ccm ilikuwa dhaifu kuliko wakati wowote kwenye historia!

4. Mbinu chafu na kutumia ujinga kama mtaji
Siasa za mwaka huu, zimetumia sana kampeni chafu, ikiwemo vurugu, kashfa kwa wagombea, mipango ya wizi wa kura na ulaghai kwa wapiga kura au baadhi ya maofisa!

Wote ccm na ukawa waliyafanya yote hapo juu, kitu hiki kwa chama tawala ndio sehemu ya ushahidi wake tunaosema watoke, sasa inapotumiwa chama kichanga kinaxhotaka kuingia madarakani sijui inatoa picha gani.

All in all wapinzani wanapaswa kujipanga na kutorudia makosa haya tena, otherwise wapinzani jina hili la upinzani litakuwa ni sehemu ya maisha yenu!

Hakika Mkuu 2kimo umeelezea vema sana. Hoja kama hizi hata siku moja UKAWA hawawezi kukubali zaidi ya kuishia kutupia lawama NEC na katiba gandamizi wanazosema. Anyway hizo factors 2 zaweza kuwa sawa ila kwangu hizi nasema ni External Factors tu. Internal Factors ni zile zilizo ndani ya UKAWA wenyewe ambazo kwa namna moja au nyingine lazima wazimalize wao wenyewe. Miongoni mwa hizo 'internal factors' ni
1. Kuwekeza katika ngazi zote za kiutawala
kutokuwa na mipango thabiti ya kuwekeza
kuanzia katika ngazi za chini ikiwa ni Uenyekiti wa serikali za mitaa, udiwani na Ubunge. Haya yatafanikuwa ikiwa watakiimarisha chama katika ngazi za chini ambao ndiyo msingi wa ushindi wa CCM. Wawekeze sio mijini tu bali vijijini ambako elimu ya uraia bado sana na CCM wanamizizi huko.
2. Mkakati wa kuhakikisha wanapata wabunge wengi ambao wataleta changamoto na uwiano uliosawa au kuzidi wale wa CCM. Sasa ukiangalia kwa takwimu za sasa utaona 3/4 ya wabunge wote ni wa CCM. Sasa hapo hata miswada ya sheria zisizo na mashiko zitapita tu kama CCM wanaamua na ndio wanaokuwa wanatoa mustakabali wa Taifa hili. UKAWA/Upinzani wanabaki kuwa mavuvuzela kelele bila tija. Badilikeni ongezeni idadi ya wabunge huko vijijini
3. Demokrasia ya kweli
Hili ni tatizo kubwa hata katika vyama vyetu vya upinzani. Hakuna demokrasia ya kweli na ya uwazi. Mfano ukiangalia katika inshu ya kumchagua mgombea Urais UKAWA walivyoisigina demokrasia hadharani. Sasa hili likafanya hata CCM kuwa bora zaidi ya UKAWA
4. Hakuna mikakati endelevu
Vyama vya upinzani Tanzania vimekuwa kama vya msimu tu kwa sababu hawana mikakati endelevu ambayo itawagusa na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja. Imekuwa kama vile ni vyama vya msimu tu

Namalizia
Iwapo vyama vya upinzani vitakuja kuwa na wabunge wengi, nadhani suala la Tume huru na Katiba litakuwa jepesi sana kwani hata wao wanaweza peleka bungeni kama hoja za upinzani zijadiliwe na kufanyiwa kazi na hatimaye Tume huru itapatikana na Katiba mpya itapatikana
 
Sitachoka kulisema hili:

Kwa kadri tume ya uchaguzi ikiendelea kuundwa na CCM hakuna mgombea wa upinzani atakayeiona ikulu.

hata angekuja nan wa upinzan, kwa hali tulioiona mwaka huu, yale yote yaliyotokea, upinzan hauwez kushnda milele,
 
Kwa kifupi ni kwamba Lowassa alikua hana moral authority ya kusema wazi wazi hizo hoja 6 zilizowekwa hapo juu ambazo ndo ulikua msingi wa kushinda uchaguzi hivyo suluhisho lilikua ni kuweka mtu msafi na anaeaminika na wananchi lakini ypte hayo si kitu hata angepatikana mtu msafi bado asinge kua declared mshindi sababu mshindi anatangazwa na nec ambayo raisi kwa namna moja au nyingine ana mkono wake sitaki kuamini kwamba hicho chombo ni huru
 
Hakika Mkuu 2kimo umeelezea vema sana. Hoja kama hizi hata siku moja UKAWA hawawezi kukubali zaidi ya kuishia kutupia lawama NEC na katiba gandamizi wanazosema. Anyway hizo factors 2 zaweza kuwa sawa ila kwangu hizi nasema ni External Factors tu. Internal Factors ni zile zilizo ndani ya UKAWA wenyewe ambazo kwa namna moja au nyingine lazima wazimalize wao wenyewe. Miongoni mwa hizo 'internal factors' ni
1. Kuwekeza katika ngazi zote za kiutawala
kutokuwa na mipango thabiti ya kuwekeza
kuanzia katika ngazi za chini ikiwa ni Uenyekiti wa serikali za mitaa, udiwani na Ubunge. Haya yatafanikuwa ikiwa watakiimarisha chama katika ngazi za chini ambao ndiyo msingi wa ushindi wa CCM. Wawekeze sio mijini tu bali vijijini ambako elimu ya uraia bado sana na CCM wanamizizi huko.
2. Mkakati wa kuhakikisha wanapata wabunge wengi ambao wataleta changamoto na uwiano uliosawa au kuzidi wale wa CCM. Sasa ukiangalia kwa takwimu za sasa utaona 3/4 ya wabunge wote ni wa CCM. Sasa hapo hata miswada ya sheria zisizo na mashiko zitapita tu kama CCM wanaamua na ndio wanaokuwa wanatoa mustakabali wa Taifa hili. UKAWA/Upinzani wanabaki kuwa mavuvuzela kelele bila tija. Badilikeni ongezeni idadi ya wabunge huko vijijini
3. Demokrasia ya kweli
Hili ni tatizo kubwa hata katika vyama vyetu vya upinzani. Hakuna demokrasia ya kweli na ya uwazi. Mfano ukiangalia katika inshu ya kumchagua mgombea Urais UKAWA walivyoisigina demokrasia hadharani. Sasa hili likafanya hata CCM kuwa bora zaidi ya UKAWA
4. Hakuna mikakati endelevu
Vyama vya upinzani Tanzania vimekuwa kama vya msimu tu kwa sababu hawana mikakati endelevu ambayo itawagusa na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja. Imekuwa kama vile ni vyama vya msimu tu

Namalizia
Iwapo vyama vya upinzani vitakuja kuwa na wabunge wengi, nadhani suala la Tume huru na Katiba litakuwa jepesi sana kwani hata wao wanaweza peleka bungeni kama hoja za upinzani zijadiliwe na kufanyiwa kazi na hatimaye Tume huru itapatikana na Katiba mpya itapatikana

kuna baadhi ya functions zimetolewa,
Naomba kupost "Like"
 
Tunasubiri agenda mpya ya wapinzani pindi wakija huku majukwaani.

Tunapenda pia kujua wapo tayari kutengeneza viongozi wao wenyewe pasi na kuwategemea ccm?

Mbowe atueleze ni kwa nini demokrasia haikufanyika ukawa? Mtu kaja siku ya kwanza ya pili kateuliwa kua mgombea? Mnatueleza nini kama mkitwaa madaraka ilhali hamtekelezi demokrasia kuanzia chumbani kwenu (Mbowe).
 
Back
Top Bottom