Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Upinzani ulianzishwa ili uwe kama msimamizi wa Serikali ya chama Dola, na siyo kama wengi wanavyotumia nguvu nyingi kuota na kuamini kwamba Upinzani utakuja kuongoza TZ kwa maana ya kushika Dola TanZania, hilo halitatokea!
Hata hivyo nawapongeza sana Upinzani kwa kuitambua nafasi yao kama watu wa kuikumbusha na kuirudisha Serikali kwenye mstari hasa pale inapotoka nje kama walivyofanya sasa hivi!
Sasa wanaweza (Upinzani) kuchill na kurelax mpaka pale Chama Dola kitakapotoka nje tena nje ya mstari na ambapo kazi yao (upinzania) itahitajika tena!