M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,512
- 1,136
Hiyo ni fizikia,huo unaitwa 'Rainbow' ni matokeo ya kuakisiwa,kupindishwa na kutawanyika kwa mwanga wa jua ndani ya Matone ya mvua.kumbuka mwanga wa jua una juma ya rangi Saba tofauti
Hiyo ni fizikia,huo unaitwa 'Rainbow' ni matokeo ya kuakisiwa,kupindishwa na kutawanyika kwa mwanga wa jua ndani ya Matone ya mvua.kumbuka mwanga wa jua una juma ya rangi Saba tofauti
amen....kibiblia hilo ni agano kati ya Mungu na Nuhu kwamba hataiangamiza tena dunia kwa maji na kila auonapo anakumbuka agano hilo
unajua kuwa upinde wa mvua hushuka chini na ukipita karibu hukukimbiza? ulishawahi kusikia hilo?
Jana kimvua kilikuwa kinanyesha upande wa mashariki,jua lilikuwa linakaribia kuzama upande wa magharibi.
pakatokea upinde wa mvua,mtoto akaniuliza swali,zile rangi zinatokana na nini?
kutokana kwamba somo la sayansi kunipita kushoto nilikosa jibu.
Mwenye uelewa naomba anifafanulie.
Barikiwa sana mkuu!Tofauti ya third world na developed countries hua inaonekana kwenye maswali kama haya, angalia majibu hapo juu, wapo watakaoleta Biblia, wapo watakaokaa kutaja ni topic au somo gani, lakini hakuna anayekaa kujibu swali, limeuliza formation ya rainbow sio rainbow kibiblia inamaana gani au inapatikana topic ipi, first world wangelijibu kama lilivoulizwa, third world tunatapatapa tu hatujui kitu.
Sasa nitalijibu, rainbow inatokana na reflection, refraction na despersion of light, kunakua na droplets za maji angani, hizi droplets zina~act kama prism, mwanga ukitoka kwenye jua unaingia kwenye droplet unakua refracted(unapinda) hii ni kutokana na speed ya mwanga hewani ni tofauti na speed ya mwanga ndani ya droplet, ukiingia inapelekea kutawanywa (dispersion) kwa ule mwanga kumbuka sunlight inacontain rangi zote, ray ikitawanywa inatoa rangi zote kuanzia nyekundu ambayo ndio yenye wavelength kubwa hadi blue yenye highest frequency. Ukitaka kuelewa vizuri chukua prism, iweke juu ya karatasi nyeupe uone mwanga unavoingia na kutoka kama rainbow. Same mechanism.
Samahani mkuu ...Nani anakumbuka Hilo agano ??kibiblia hilo ni agano kati ya Mungu na Nuhu kwamba hataiangamiza tena dunia kwa maji na kila auonapo anakumbuka agano hilo
Kumbe mpaka MUNGU ni msahaulifukibiblia hilo ni agano kati ya Mungu na Nuhu kwamba hataiangamiza tena dunia kwa maji na kila auonapo anakumbuka agano hilo
kawadanganye huko kwenuunajua kuwa upinde wa mvua hushuka chini na ukipita karibu hukukimbiza? ulishawahi kusikia hilo?
Amesahau nini?Kumbe mpaka MUNGU ni msahaulifu
KILA AUONAPO ANAKUMBUKA AGANO HILOAmesahau nini?
Acha masihara hayo