Asante Mkuu,
Kuna siku nitakupeleka Mkuranga,mbele ya Kimanzichana huko mkuu,kuna Acre kama 20 - 30 hivi bado nipo kwenye mazungumzo.ikiwa sana nitakutafuta miezi kadhaa ijayo,nasubiria wamalize kuvuna mazao yao ya msimu.
Nakupongeza kwa kuwajali watanzania wenzako,aisee watu wanaumia sana kwa kumiliki maeneo kinyemela na wanalia sana na watalia saana