Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Wakuu habari

Kama mwezi mmoja hivi umepita, nilituma uzi humu ndani kuhusu kujitoa chamani ( chaputa sanaa group) yani kuacha kupiga nyeto kabisa.

Sasa, kusema ukweli , leo baada ya hali kuwa mbaya nimeshindwa Kuvumilia , nimejikuta leo asubuhi na mapema nimeingia tena kwenye 18 za nyeto..

Aisee, nakili kuwa hii kitu ni kazi kuacha.. na sema ni kazi kuacha..

Nimerudi tena chamani upya, kazi iendelee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nlikua kama wewe ila leo hii nliposoma huu uzi ndo nimeshtuka how long sijafanya hayo mambo, solution ya kupunguza nyeto is majukumu, basi hamna dawa ingine zaidi ya majukumu.
 
Nlikua kama wewe ila leo hii nliposoma huu uzi ndo nimeshtuka how long sijafanya hayo mambo, solution ya kupunguza nyeto is majukumu, basi hamna dawa ingine zaidi ya majukumu.

Haha porn ndio inani cost mzee...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom