sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Yapo matukio mengi duniani yanayoashiria ni msimu fulani umefika
1. Kombe la dunia
2. Olmpic
3. Ligi kuu tz
4. Wachaga kwenda kuhesabiwa mwisho wa mwaka
5. Kipindi cha masika au kiangazi, na mengineyo mengi.
Je ni tukio gani linaloashiria kabila lenu lipo? Kama unapofika msimu wa wachaga kwenda kuhesabiwa?