Upi utamaduni wa kabila lenu?

Upi utamaduni wa kabila lenu?

Mbona kila watu hapa Tz wana utamaduni wao na kwao wao ni mzuri tu ama mnaongelea wa kurudi makwao ? kuna tamaduni za mavazi,salaamu,makuzi,vyakula n.k alafu mbona kila siku watu wanasafiri makwao ama mpaka iwe sikuu watu waende kwao inakuwa safari ..?
 
Sie kwetu kila mwezi wa 11&12 huwa tunavuna senene makontena kwa makontena wengine wanavushwa ng'ambo ya nchi na ukifika kweli ndo utajua senene ni nini hata wageni wakisha kula na hata kurudi makwao ikifika msimu huwa wanatukumbusha tuwatumie tene na tena

Very interesting!
 
Back
Top Bottom