Upi ukweli machimbo marefu ama mkate mfupi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upi ukweli machimbo marefu ama mkate mfupi??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mara nyingi wanawake huwacheka sana wanaume ambao visamaki vyao ni vidogo sana kwa kuwatania kwamba hata ukikohoa tu wakati wapo sita kwa sita kanachomoka, wakati huohuo wanaume nao huwacheka wanawake ambao huko chini kwenye machimbo ya dhahabu kuna pwaya mno kiasi kwamba mwanaume akiingiza mpini hasikii kitu chochote yaani hakuna ule mgusano au msuguano unaoleta raha ya tendo la ndoa.
  Pia kuna wanawake ambao uke umejaa maji kwelikweli hata uume ukiwa ndani ni kuteleza tu bila msuguano wowote wala kubana kokote matokeo yake hakuna ladha na utamu wa tendo lenyewe.
  Je, kuna dawa yoyote ya kuweza kutibu hivyo visa?
  Dawa ipo, tena bure na ipo ndani ya uwezo wako, kitu cha msingi ni kukubali mabadiliko na kuwa na hamu ya kutaka kubadilika.
  Kukubali kubadilika na kutaka kuwa na uke tight unaokupa raha wewe na mume wako na zaidi afya yako ya uzazi kuwa imara.
  Ni kawaida wanaume wengi kuogopa kwenda kwa daktari kuongea masuala ya afya ya uzazi, hapa huhitaji kwenda kwa daktari, daktari ni wewe mwenyewe kuwa serious, kwani ukifanya vizuri utakuwa na uwezo wa kusimamisha mti wako kwa muda mrefu na pia unaweza kuhimili kubana kutofika kileleni mapema kabla ya mwandani wako.
  Wanawake wengi baada ya kuzaa zaidi ya mara moja na kama hawakuwa watu wa mazoezi, misuli ya uke hulegea na kupelekea kupoteza mnato na u-tight wa uke na pia kutojiamini wakati wa kufanya mapenzi kutokana na kupwaya kwa uke.
  Dawa ya hili tatizo ni kufanya zoezi la kukaza misuli ya PC
  Kitaalamu hili zoezi huweza kurudisha hiyo hali ya kuwa tight baada ya miezi miwili kwa kufanya kila siku mfululizo na kwa kujitoa na kuwa serious.
  Je, hili zoezi ni gumu?
  Si gumu,
  Ni rahisi sana,
  Ni salama.
  Siyo zito na halichoshi.
  Linaweza kukupa matokeo baada ya wiki nane
  Je, unaanzaje au nitajuaje huu ndo msuli wenyewe?
  Kwanza ili kufanya hili zoezi anza kwa kutambua misuli ya uke au uume inayohusika kwa kuzuia mkojo unapotoka, then kojoa kwa kukata huku ukikaza misuli kwa kutoa mkojo kwa kuhesabu sekunde 4 hadi 10 au namba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10 ndipo unakojoa tena ujazo wa kijiko cha chai na hatimaye unaanza upya kwa kukata na kuhesabu 1 – 10 kila unapoenda kukojoa muda wowote.
  Hii inasaidia kutambua msuli unaohusika na kukaza uke au uume.
  Msuli uliotumia kuzuia mkojo ni rahisi kuuhisi na ndo huo unahusika.
  Hii misuli husaidia kukaza matundu matatu huko chini kwa mwanamke ambayo ni uke, tundu la mkojo na tundu la kutolea haja kubwa.
  Ndiyo maana watu wanaofanya upuuzi ule wa sodoma na gomora kuna wakati huhitaji kuvalishwa nepi maana misuli imelegea hauwezi kuzuia tena haja kubwa.
  Ukishapatia kujua msuli upi unatumia kuzuia mkojo, basi unaweza kuendelea na zoezi hata kama hukojoi kwa kuendelea kukaza kama vile unakojoa ingawa siyo.
  Unaweza kurudia zoezi muda wowote hata kama hukojoi mahali popote, kwenye kiti ofisini, kwenye daladala nk.
  Wakati unafanya Hakikisha kuna tofauti ya sekunde tatu hadi kumi.
  Pia unaweza kuongeza kukaza hiyo misuli kila ukikojoa, fanya zaidi ya 20 kwa siku
  Fanya kwa wiki nane mfululizo.
  Kama wewe ni mwanamke ambaye chini kunapwaya au mume wako amekuwa analalamika kwamba hapati ladha na utamu halisi basi hili zoezi la kubana misuli litakuwezesha kubana uume au kuuvuta kwa ndani (milking), au kwa kuukamua hatimaye anapata raha kwa msuguano unaokuwepo na wewe kufika kileleni haraka.
  Ukitaka kujua uke wako unakubali zoezi jaribu kuingiza kidole wakati unafanya hili zoezi then utahisi kidole kubana zaidi kuliko kawaida
   
 2. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Eh! mambo hayo, jamani kama mmetatuliwa gongeni thanks sio vizuri kuuchuna kwani atawajua nani?
   
 3. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Halohalo pdidy kaja na kitchen party, sawa mie hapa tayari nishaanza kuhesabu
   
 4. Z

  Zabron Erasto Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up mwana nimekusoma mazoezi yanaanza. tiba pasipo nauli wala kikombe mwenyewe najitibu.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mmmh hesabu hadi kwenye nanilii
   
 6. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Bwana asifiwe mkuu
   
 7. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa, na hii dawa nzuri sana kwa wanawake wenye tatizo hilo

  ukiona unasahau unaweza weka alarm kwenye simu, kila baada ya muda fulan itakukumbusha

  bas unaanza kufanya zoezi lako hahahah
   
 8. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nakubaliana na Pdidy..hili zoezi hata kwa wanaume wenye kibamia na wanawahi kucheka wakati wanaduu wakizingatia hilo zoezi linamaliza kabisa matatizo hayo mawili...ndani ya miezi mi2 kama ulikuwa na kibamia unajikuta una limhogo na unaweza kwenda mwendo mrefu bila kucheka mapema
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ya leo kali.nmejaribisha kimya kimya hata ndani ya daladala naona inafanya kazi.
   
 10. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Duh, somo tosha kabisa
   
Loading...