SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,843
- 1,841
Viongozi wetu wa kitaifa wamekuwa wakipambanua eti Mwalimu na Mzee Kenyatta walikuwa Marafiki.
Lakini pia wazee waliokuwa karibu na Mwalimu wamekuwa wakitwambia kuwa Nyerere hakuwahi kabisaa kuwa Rafiki ya Kenyatta, si tu personally bali hata ideologically.
Na kuna mmoja alinidokeza kuwa eti Mzee Kenyatta aliibeza sana vita ya KAGERA wakati tunaingia kumfukuza nduli.
Hivi ukweli kuhusu hili ni upi? Je Ni kweli eti Mwalimu Nyerere alikuwa rafiki na Mzee Kenyatta kama inavyopigiwa chapuo na hawa viongozi wa siasa, au haikuwa hivyo?
Na kama haikuwa hivyo kwa nini tunamsingizia?? Mbona Idd Amini tunaona sifa kusema alikuwa adui ya Mwalimu Nyerere?