Upi Ukweli Baada Ya Timu Kukabidhiwa Kikombe?.

Mkwaha

JF-Expert Member
Oct 4, 2012
1,688
3,170
ITIFAKI IMEZINGATIWA.

Utangulizi: Kwenye Mchezo Wa Mpira Wa Miguu Baada Ya Mashindano Kumalizika Mshindi Hupewa Zawadi Ya Pesa Na Kikombe.

Swali: Kile Kikombe Anacho Pewa Mshindi Huwa Ni Mali Ya Team Husika Moja Kwa Moja?.

Kama Hakiwi Mali Ya Timu Husika mbona Kuna Team Wanamiliki Vikombe Mbali Mbali Kwenye Kabati Zao?.

Nilipata Kusikia Kwamba Timu Ikichukua Kikombe Mara Tatu Mfululizo Basi Timu Hiyo Itapewa Hicho Kikombe Moja Kwa Moja na Chama Cha soka kitatengeneza kombe lingine je kuna ukweli gani juu ha hili?

Naomba Kuelimishwa Juu Ya Hili Kama Kuna Sehemu Sijaeleweka Naomba Niwekwe Sawa Maana Kuandika Ni Fani Za Watu.
 
Inaonyesha hujaelewa nilicho uliza kwaheri
Anyaway ni hivi vikombe unavyo viona kwenye kabati za timu inategemea ni haina gani ya mashindano, kama ni bonanza kikombe unapewa unachukua moja kwa moja. Kama ni mashindano yakila msimu ukilibeba mara tatu unapewa lotolote chama kinacho usika na kuandaa hayo mashindano kinachonga kombe jingine upya.

Ila sasa ukiwa bigwa wa msimu msimu unaofata lile kombe ulilopewa unatakiwa kuliludisha na waandaaji wanakupa kikombe kinachofanana na kile ili iwe kumbukumbu yako kabatini ila lile orginal unawaludishia. By da way sorry kama nilikukwaza.
 
Ahsante kwa majibu.
 
Back
Top Bottom