mwanamke kaenda chuo akakata mawasiliano na mshkaji wakati walikuwa ni wapenzi, akaja akarudi baadaye huku akiomba msamaha kwa tukio la kunyamaza jamaa akamsamehe dada akadai anashida amebiwa nauli jamaa akamtumia laki kutoka mwanza kuja dar baadaye jamaa anampenda demu kuliko chochote bi dada akaja akadai simu yake imechkuliwa na kaka yake kibabe hivyo mawasiliano yatafeli jamaaa akawa aware kuw bi dada hanasimu hivyo wakawa wanawasiliana kwa no nyingine ambayo bi dada alimpa akidai ni simu ya jiran yake baadaye jamaa akapata safar ya kikaz akamwambia nakuja dar kesho napenda nikuone nitakuwa kwa siku 4 demu akadai poa atamuona ajabu mpaka mshkaj karudi chuga hawajaonana na yule dada, toka siku hiyo yule dada ajafanya jitihada za kumcheki mshkaj wakat ana no zake zote 3 na e mail, ajabu simu ya huyo dada huwa inaita ukipiga ila haipokelewi sasa jamaa anahoji simu haiishi chaji? Kama brother ake anayo huwa anaichagi ikiisha? Ni miezi 3 sasa hawana mawasiliano demu ni wa chuo 21 aged je ni kweli hana no ya mshkaj wake awe anawasiliana? Au ndo mapenzi yashakufa na hiyo ya kaka kuchkua simu ni hoja tu? Wakuu embu ioneni hii ishu kimawazo. Jamaa stil anataka ampige chini kwani ashakaa naye miaka 3 lakini anadai anampenda je aendelee au apige chini.