upi mtandao bora wa habari za michezo Tanzania

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,650
3,662
wadau kati ya mitandao ya habari za michezo Tanzania wew upi unakuvutia sana?
www.salehejembe.blogspot.com
www.binzubery.com
www.shaffihdauda.com
www.soka360.co.tz
www.kandanda.co.tz

laKwa mimi ni soka360.co.tz jamaa wanajitahidi update kwa website yao mpaka page zao za insta facebook na twitter, jamaa wanatuma reporter kama wakati yanga ipo Rwanda Azam ipo South africa na juzi Taifa stars Chad

Pia jamaa wanagraphics nzuri kiasi kwamba mpaka mitandao ya vilabu kama azam fc huwa wanaiba picha zao
 
Back
Top Bottom