Upgrading IOS

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,944
Reaction score
810
Wakuu naomba msaada kidogo jinsi ya kuupgrade IOS sababu nikitumia Itunes net ikikata kidogo inakula kwangu maana application inaanza upya kabisa hairesume ilipoishia, nisaidieni another process


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Huwa inabidi uvumilivu kidogo. Wifi ni nzuri huwa inakwenda haraka la sivyo unasubiri hadi iphone yenyewe itakapokupa option ya kudownload update kwa jia ya kawaida! Ila tusubiri wataalam hapa watakuja na suluhisho tu!
 
Nenda hapa! Download Firmware (IPSW) Files for iOS Devices dowload kulingana divice yako, hii ina resume download iwapo bundle itaisha kabla hujamliza. ukimaliza unganissha device yako na pc fungua Itune. wakati una click update hakikisha umeshikilia shift hapo itafunguka window chagua wapi lilipo file ulilo download. kilakitu kitaendelea,


Muhimu: hakiska umechagua ios muwafaka na Device yako.
 

Ntakuletea feed back mkuu


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Pia make sure hiyo firmware iko up to date la sivyo italeta error, pia make sure computer iko connected kwenye mtandao.

Utajuaje kama ipo up to date?


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…