Upgrade your iphone 3gs into 6.1 now !!!!!!


we jamaa ungekua mwalimu hakuna mtu angefaulu.
 
we jamaa ungekua mwalimu hakuna mtu angefaulu.

Mwalimu ambaye darasa lake hakuna anayefaulu anakuwa zaidi ya wote yeye ndiye kafeli vibaya zaidi.

To the contrary, mie sina fikra kama za walimu wa kibongo, hasa wa elimu ya juu, ambao wanajiaminisha umakini wao kwa idadi ya wanafunzi wanaofeli.

Tunawekana sawa tu.
 
Yani tutoke huku kijijini Nkotokwiana (Newala) kuja kariakoo ku-upgrade?! Nani wa kuja kariakoo na vibaka wote hao? Tutaigoogle kwenye Ehow ili tufanye wenyewe kienyeji.
 
imetoka ios 6.1.2 ya iphone 3gs,
vp hii inakuaje gharama yake kwa locked phones??
 
Ebwana yangu ni 5.1 nataka hiyo latest version! Niandae ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…