Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 686
Nina TECNO H5 na android version yake ni 4.2 Jelly Bean...Je, kuna uwezekano wa kuipeleka Version nyingine yani Android 4.4 Kit Kat???
Kwa anaejua tafadhali
labda kama utapata custom rom
ila kwa official update hakuna kitu kama hiko.
Hpo ndo tunapo kataa simu za mediatek zikiongozwa na tecno.
even custom rom zinakuwa fake, sababu mediatek hatoi source code. unapewa custom rom ya version ya juu lakini ukitaka kueka apps za hio version zinakataa
Most of the time inakuwaga ni ileile stock rom lakini wanabadilisha icons na launchers na kukuwekea apps kibao zisizo na maana.ndo shida hiyoo..ndio mana hata kukuta custom rom zake ni issue na hata ukipata inakua sio stable kabisa.