S stweka JF-Expert Member Jun 9, 2016 422 144 Jul 18, 2016 #1 Leo saa 8 na dk 20 mchana upepo umeng'oa bati ktk jengo la kidato cha pili,shule ya upili Chikonji iliyopo Lindi manispaa.[
Leo saa 8 na dk 20 mchana upepo umeng'oa bati ktk jengo la kidato cha pili,shule ya upili Chikonji iliyopo Lindi manispaa.[
S.Liondo JF-Expert Member Apr 20, 2011 3,408 1,713 Jul 18, 2016 #4 Shule zenyewe hizi zilizojengwa na CCM, utadhani gofu.
Malick M. Malick JF-Expert Member Apr 2, 2013 652 310 Jul 18, 2016 #7 Poleni sana watu chikonji Ndugu zangu wa Lindi,
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Jun 21, 2016 22,135 48,821 Jul 18, 2016 #9 Mulhat Mpunga said: Click to expand... Jingalao na Lizaboni.