Upepo waezua Kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira hatarishi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,507
55,027
Mvua zilizoambatana na upepo zimezua paa la kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira hatarishi cha Tosamaganga kilichopo nje kidogo ya manispaa ya Iringa na kusababisha hasara ya karibu shilingi milioni mia moja na hamsini.Mia
10425449_647748338669477_5994188837844257723_n.png

Chanzo:ITV
 
Back
Top Bottom