Upepo wa Membe mtaani usipime

Kazi iliyo mbele ya Membe ni moja tu basi! KUCHUKUA FOMU mengine atuachie sisi Magwiji na Makungwi!

Hatuwezi kuacha nchi iongozwe na mtu ambaye akilala akiamka alichoota jana usiku ndiyo policy ya nchi leo!

We deserve better!!!
Inamàana na mwaka huu unataka ukadeki tena barabara mkuu!?
 
Nahuo upepo itaishia huko huko mtaani na ndio uzuri wenyewe
 
Chadema sio rafiki hata kidogo wa Ccm lakini ni rafiki wa Membe ambaye ni wa CCM, siasa ni vigumu kuielewa!
Mpango wa kuingia Ikulu Kwa Chadema upo?
 
aisee nimegundua kumbeJiwe HAPENDWI KABISA na watanzania na ndiyo maana chama twawala wanatumia nguvu nyingi mno kutanganza wanayoita mafanikio lakini wapi.

Niko Mwanza muda huu ninapoandika na kutuma comment hii....

Mwanza ya 2020 ni ileile ya aliyoaiacha Jakaya Kikwete mwaka 2015...

Hakuna jipya linaloweza kuonesha tofauti...

Mwanza is naturally moving on. No man-made factors from Magufuli's regime that making Mwanza change....
 
Imkuu huu utafiti Wenda umeufanyia nyumbani kwa binafsi nasafili sana na kila nisafilipo napenda kunywa kahawa sijasikia kitu kuhusu membe Bali nasikia CHADEMA VS CCM ndo habari ya mjini lakin wakati huo chadema vijiweni ina mguvu sana kuliko Ccm ,kwa kumtaja sana lissu
 
Wewe ni mmoja wa makamanda wanaokunywa konyagi na kuvuta bangi.
 
Acha tuusubiri huo upepo mfu wa usipime lakini Viongozi wa ACT wazalendo wanasema Hana Mvuto, wamemtengeneza miaka Yoote ohh #KaziNaBata Lakiniiiiiiiiii Mvuto Hana...Ila tatizo Bara hawana Mgombea wanasema Bora yeye kuliko wengiiiii...atawasaidia wabunge wawili watatu Bara....
 
Kagera? Kweli kuna watu wanaota ndoto mchana
 
Shida ya act na membe wenu propaganda ya udini itawapukutisha mapema hatutaki alshababu sisi
 
Kumbe huu uzi ndio mnamdanganyika Jasusi wenu!
Hivi hiyo mitaa humu JF inapatikanaje?Naona uko ndio anakoongoza.
Anyway Huyu MTU hajulikani kama mnavyohaminisha watu.Hana umaarufu, Hivi amewahi kuifanyia nini Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…