uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,087
- 2,996
Watanzania tufike mahali tukubali kumpongeza anayeonyesha moyo angalau wa kutuvusha,Angalia asije akijakata mwenyewe maana anatakiwa ajibu trilion 2.4 ziko wapi
Upinzani hautakaa ujipange maana aidha haupo kwa maana kuwa waliopo ni ccm kwa bendera za upinzani au upo ila haujui nini ufanye, kama BCM akianza joto la urais wajue ni ccm ktk camoufalege ili kupoteza muda upinzani kujipanga ushinde. Am sorry for you
Watanzania tufike mahali tukubali kumpongeza anayeonyesha moyo angalau wa kutuvusha,
tusitegemee nchi hii iongozwe na malaika asiyekuwa na doa hata kidogo.
Binafsi naona hakuna haja ya kutoa maelezo ya hiyo trioni 2.4
mimi naweza kusema nchi hii ni kubwa kumtegemea mtu mmoja adhibiti mambo yote na pasiwepo upungufu
haiwezekani,huenda hilo pengo kama lipo limesababishwa na wasimamizi wake,maana tunashuhudia
kila mara watu wanatenguliwa na wengine kuwekwa.
kati ya hao ni nani aliwahi hacha kutekeleza,tuongelee kuwazaTrilioni 2.4 ni nyingi kushinda ufisadi wote uliotokea kwenye serikali ya BWM plus ya JK
Unataka tusamehe hivihivi tu mjomba?
kati ya hao ni nani aliwahi hacha kutekeleza,tuongelee kuwaza
kuhamishia ikulu Dodoma,kujenga SGR,kujenga fly overs n.k?
Hatutegemei mtu alowane umande wakati amekaa chumbani kwake tena kwenye kochi.
kitendo cha JPM kuthubutu,kinanifanya nimuunge mkono.
Chonde chonde watanzania,2020 twende na Membe,kwa maslahi yetu na vizazi vijavyo...
halafu taarifa zisizo rasmi zinasema Dr slaa anachukua fomu upande wa cdm,sasa patakuwa moto kweli kweli,
anahitajika mtu mwingine lkn sio magu wala membe. Membe hafai hata kdg.Chonde chonde watanzania,2020 twende na Membe,kwa maslahi yetu na vizazi vijavyo...
Tunamtaka Lissu, weka Membe pembeniHakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020
Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm
Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko
Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar
Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora
Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
Vizuri mkuu basi wekeni wagombea wawili katika kinyang'anyiro. Magu na Membe.Magufuli hahitaji CCM , ni CCM ndo ina muhitaji Magufuli, Magufuli hata akihamia chauma akampisha membe ccm na membe akaungana na wana cecm wote bado Magufuli atawashinda , huyu jamaa utendaji wake una mbeba sana mazuri ni mengi kuliko mabaya
Mbona unawaza kawaida sana? Unafahamu nini kuhusu nguvu ya chama kwa raisi? Akiachana na chama ameachana na hiyo nguvu unayoiongelea mpaka atakapoipata tena kupitia chama kingine(kama ataipata). Raisi anafanya kazi lakini kumpandisha cheo kuliko chama unajidanganya. Halafu unatakiwa ufahamu pia kuna watu nchini wana nguvu na wafuasi mpaka kwenye majeshi na si maraisi. Ndo maana kuna nchi machafuko na uasi wa jeshi hutokea endapo watu wao wakiguswa.Ana weza fanya hivyo na bado akashinda, tena kwa 100%, kumbuka yeye ana mawaziri zaidi ya 20, wabunge ambao akihama wengi watamfuata, wabunge wengi wanataka guarantee ya kurudi tena bungeni, hivyo wana muhitaji Magufuli kuwa vusha, wakurugenzi ambao ni wakeleketwa wakuu wa uchaguzi ni wateule wakuu was Rais, vyombo vya ulinzi na usalama wakuu wake ni wateule wake, akitoka ccm hii advantage ccm itakuwa haina tena, huyu mtu unafikiri ccm watamshinda? ukweli kuwa ccm ndo ina muhitaji Magufuli wala sio vingine.
Tunamtaka Lissu, weka Membe pembeni
Tetea kwa akili basi. Sema hakuna T2.4 iliyopotea, kama haipo kwenye ndege basi ipo kwenye reli au umeme kuna sehemu tu imetumika.Watanzania tufike mahali tukubali kumpongeza anayeonyesha moyo angalau wa kutuvusha,
tusitegemee nchi hii iongozwe na malaika asiyekuwa na doa hata kidogo.
Binafsi naona hakuna haja ya kutoa maelezo ya hiyo trioni 2.4
mimi naweza kusema nchi hii ni kubwa kumtegemea mtu mmoja adhibiti mambo yote na pasiwepo upungufu
haiwezekani,huenda hilo pengo kama lipo limesababishwa na wasimamizi wake,maana tunashuhudia
kila mara watu wanatenguliwa na wengine kuwekwa.
Anaweza badili katiba , chama kijitenge na serikali kabla ya uchaguzi, na akafanya kampeni kwa makada wote wa ccm kura za ndio zitashinda, nguvu aliyonayo ni kubwa kuliko kijani chenu, yuko hapo mtoeni muone effect yake.Mbona unawaza kawaida sana? Unafahamu nini kuhusu nguvu ya chama kwa raisi? Akiachana na chama ameachana na hiyo nguvu unayoiongelea mpaka atakapoipata tena kupitia chama kingine(kama ataipata). Raisi anafanya kazi lakini kumpandisha cheo kuliko chama unajidanganya. Halafu unatakiwa ufahamu pia kuna watu nchini wana nguvu na wafuasi mpaka kwenye majeshi na si maraisi. Ndo maana kuna nchi machafuko na uasi wa jeshi hutokea endapo watu wao wakiguswa.
Acha kabisa Mkuu hili likitokea la Bugirichato kupigwa chini furaha itakayokuwepo nchi nzima itakuwa haina mfano.
Watanzania wengi watalia machozi ya furaha na wengine walioathiriwa na huyo dhalimu kwa namna mbali mbali yatakuwa machozi ya huzuni.
Mkuu mrija wa trilioni 2.4 mbona haujakatwa???...trioni 2.4 zipo wapi????Tuliokuwepo enzi za azimio la Arusha,kulikuwa na misemo fulani
mmojawapo ni huu "Kukata mirija" na mheshimiwa Magufuli anachokifanya
ni kukata mirija,hayo mambo ya kupelekwa mahakamani ni upotevu wa fedha ya umma
mimi naona ni heri tukate mirija, wa kunyauka atanyauka mwenyewe bila hata kesi.
Ni kupambana kuziba nyufa zilizotumika kutunyonya mengine yafuate,na huwezi kuyafanya yote kwa wakati mmoja.
Wewe kwa mbali una akili ukilinganisha na hao mapimbi wanaomshabikia mtu eti wakiamini maisha yao yatakuwa mazuri.Aje membe au nani sisiemu ni ile ile hakuna jpya