Upepo wa Membe mtaani usipime

Upepo wa Membe mtaani usipime

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,386
Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020

Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm

Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko

Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar

Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora

Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
 
Hawa wanarukaruka tu ila mwakani atakayepeperusha bendera ya CCM si mwingibe bali ni John PJ Magufuli (PhD). Bahati nzuri/mbaya hata hao akina Membe wanalijua hili vizuri sana. Wana CCM ni wanafiki kupita maelezo (Musiba was spot one for once..). Utashanga haohao akina Membe, January, Nape, Mwigulu, Makamba etc wapo ndani ya kampeni team.

Siasa waachieni wana siasa na nendeni mkafanye yenu kwa manufaa yenu na familia zenu.
 
Back
Top Bottom