Jamani kwa we ye Ku UA tujuzane ni kiwango/kiasi gani cha pressure/upepo kinatakiwa kujazwa kwa matairi ya magari, mfano kwa kakorola kangu kenye tairi saizi 14, tueleweshane wandugu

nijuavyo mimi tairi nyingi huwa zinaandikwa na kiasi cha pressure(upepo) kinachoweza kubeba kabisa...zaidi ya hapo labda uende maeneo wanapojazia upepo tairi uwaulize wale jamaa maana ndo wataalam wenyewe wale...!!
Jamani kwa we ye Ku UA tujuzane ni kiwango/kiasi gani cha pressure/upepo kinatakiwa kujazwa kwa matairi ya magari, mfano kwa kakorola kangu kenye tairi saizi 14, tueleweshane wandugu
soma tairi yako imeandikwa.......hio 14 ni diameter ya rim sasa tairi zinaweza kuwa zote ni 14 ila ingine ni low profile kwahio zinajazwa pressure tofauti.